Umeshawahi kutongoza demu kama leo halafu kesho ukapiga mzigo

Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Mbona hiyo ni delayed contract, unapata demu ambaye ni direct and honest (siyo demu mauzo) na amekuelewa, mnafikia mutual agreement na jigijigi inafanyika same day
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Sasa utongoze leo upewe mzigo kesho?? Kwani leo kuna nini hadi nipewe kesho? Mkishakubaliana mnapeana hakuna sababu ya kuahirisha hadi siku nyingine.
 
maelezo yako yanaonesha kuwa wewe ni mnunuzi wa zile za rejereja
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Tubuni kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia(Mt 3:2).
Waasherati na wazinzi, Mungu atawatupa katika moto wa milele(1 Kor 6:9-10)
 
Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?

Wewe vipi mdau ulishawahi
Wewe ulitegemea nini kwani hujui kama kwasasa ndiyo kitega uchumi chao

Sawli wewe umemtongoza unataka nini kwake

Vile vile usipo mpa wengine watampa na atawapa dudu
 
Back
Top Bottom