All the best mkuuMi nilishawahi kumla demu kimasihara hivyo, nilimwogopa balaa. Lkn hasubuhi akawa anaisist ye sio Malaya, yule.demu alikuja nisaidia issue Moja kimawazo, anae akili balaa...nilijikita nimezaa nae watoto wawili. December mwaka huu nabariki nae ndoa st Theresa Arusha
Anagombea chama gani huyu? Kura yangu anayo.
Mkuu mambo ni mingi na muda ni mchache. Hivyo mambo ni chaaaap kwa haraka.Mimi hawa hua naendaga na tahadhari mapema kabisa tena navaa mbili kabisa
Hua nafikiria hivi wangpi wamepita kama jana tu na leo kanipa mzigo?
Wewe vipi mdau ulishawahi
Kwa lipi una kama ya punda au🤣Utanikimbia bure maana au basi😁
Hao ni wavulana wa darGentlemen don't kiss and tell
Mnakwama wapi nyie wanaume wa Dar?
Eeh hii nayo maajabu🤣🤣nliwahi tongoza baada ya kula mzigo…
Hebu nikaedit iwe wavulana 😂Hao ni wavulana wa dar
Wakipewa leo leo wao kwao ni nongwa wakinyimwa kwao nongwaHebu nikaedit iwe wavulana 😂
Kumbe mara 7 tu 😄😄ushawahi fika kibo mara saba afu naogopa usije niganda ukapata shida ya kufua mashuka kila siku
We endelea kupiga nyeto tu mkuu hizo hela tushazitafuta zamani wkt wewe hujazaliwaPunguza uvivu, Tafuta pesa! Mwanamke hatongozwi unapokuwa na pesa!
Kutongoza wanatongoza wavulana!
Tatizo umekua addicted na mishangazi🤣🤣🤣Punguza uvivu, Tafuta pesa! Mwanamke hatongozwi unapokuwa na pesa!
Kutongoza wanatongoza wavulana!