Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Nilisoma shule moja (drs tofauti) na mchezaji chipukiz Rafael,,
Namsubiri mahome coz alinipiga lafu moja wakati wa kona [emoji16][emoji16][emoji16]. Pentagon p/schl
RAPHAEL%20DAUDI%20LOTH.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana Mimi namjua tu maana nimefanya kazi mtwara kipindi hikoo

Mama nannauka km sikosei alipewa shule sijui ndwika girl vile

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee ndo mana we kichwa 💪 mana mtu aliyewahi kuishi mtwara hawagi boya boya😀
 
Aunty MAGO kama kitu hukijui piga kimya tu

mwaka 2012 naingia hapo first yr huyo godzilla yeye alikuwa ndo anamaliza diploma..

bill nenga alikuwa diploma mwaka wa kwanza

huyo nandy hata sikuwa najua anasoma level gan zaidi ya kumuona (kalikuwa katoto sana)

keisha nikiwa 3rd yr ndo nilianza kumuona yy akiwa 1st yr so hakuna waliosoma class moja hapo umeskia Aunty MAGO
Keisha kaunga hapo 'visetifiketi na kidipuloma' akenda kuunga tena chuo cha kata Uganda huko.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
 
We used to call him Marc Fad[emoji3] one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato[emoji16] bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu[emoji41]
best wa physics tz nzima ni mudi physcs hao wengin mbwembwe.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
 
Irene kiwia Nikimwangalia sasa hivi huwa nacheka tu
Irene wakati yuko mkwawa sec b4 chuo tulikuwa tunamuita "kwasu"lile nyama gumu unatafuna wapi,kila mtu alikuwa anajipigia kuanzia wanafunz mpaka walimu.kifupi ni mama huruma aka mlezi wa wana.

Sent from my SM-G900P using JamiiForums mobile app
 
Hiyo degree program ndo naisikia Leo,wanahusika na nini hao watu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ulishasikia Katibu wa Hospitali Hospital Secretary au Health secretary kwenye wizara taasisi ndo wanakuwa wanesoma healtg management system. Ni adiminstrators wa shughuli zote za Afya kwenye maeneo husika wakisimamia pia HRs Issues. Ina deal kimtindo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary Hamisa Mobeto alikuwa school met wangu, actually kuna sister ake alikuwa anaitwa Regina Mobeto ndo nilikuwa nakaa nae dawati moja....wana ukareee fulani wa asili!

O-level nimesoma na Meck Maxime formerly kocha wa mtibwa ss ni kocha wa Kagera Sugar. Nakumbuka Mtibwa aliyepelekwa kea majaribio na Salum Lyandungu na akachukuliwa muda mfupi baada ya kumudu jaribio lile.... those where the days (TWTD)

Chuo nikasoma na shafee Dauda pale IFM nadhani yy alichukua Social protection!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom