Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Umetafuta Fundi wa gari yako? Uliza chochote kuhusu gari lako

Fundi wa gari zote za diesel , 1kz, 1hz, 3L, 2L, pajero, dayna, canter pamoja na fusso zote pia kwa gari kubwa zote tunatengeneza carmis na pump kubwa zote SCANIA zote , IVECO, BENZ, Volvo, DAF, REYLEND, na zote zitumiazo diese. Wasiliana nasi. +255758277823
TENGENEZA NASI UFAIDIKE
[email protected]
Mtalaam, hebu nisaidie kujibu hili swali " nina Prado box lina engine 3L ningependa kuweka turbo liwe na nguvu zaidi. Je ni nzuri au ndio naliloga? Naomba ushauri tafadhari"
 
Iyo aiwezekani kwasababu mashine yake ni ndogo labda ingekua 5L ,1hdt nazngnezo lakini kwa 3L ni gari yenye nguvu na speed isiyo tegemea turbo ikiwa itafanyiwa service inavotakiwa
 
Mtalaam, hebu nisaidie kujibu hili swali " nina Prado box lina engine 3L ningependa kuweka turbo liwe na nguvu zaidi. Je ni nzuri au ndio naliloga? Naomba ushauri tafadhari"
Hizi gari zenye engine ya 3l ingine ikishaanza kuchoka gari inapoteza nguvu jaribu kufanya engine overhaul hasa kama ulikuwa hauifanyii service kwa wakati
 
Hizi gari zenye engine ya 3l ingine ikishaanza kuchoka gari inapoteza nguvu jaribu kufanya engine overhaul hasa kama ulikuwa hauifanyii service kwa wakati
Asante kiongozi. kwahiyo dalili za kuchoka ni kukosa nguvu tu au kuna kingine cha ziada vinaenda sambamba kama kutoa moshi mzito?
 
Umetafuta Fundi wa gari yako mwaminifu na mtaram&mzoefu ujampata shoo diesel service ndio jibu lako kwa gari zote za diesel , 1kz, 1hz, 3L, 2L, pajero, dayna, canter pamoja na fusso zote pia kwa gari kubwa zote tunatengeneza carmis na pump kubwa zote SCANIA zote , IVECO, BENZ, Volvo, DAF, REYLEND, na zote zitumiazo diese. Wasiliana nasi. +255758277823
TENGENEZA NASI UFAIDIKE
[email protected]
Hivi course ya kutengeneza magar kwa computer...inaitwaje...
 
Iyo aiwezekani kwasababu mashine yake ni ndogo labda ingekua 5L ,1hdt nazngnezo lakini kwa 3L ni gari yenye nguvu na speed isiyo tegemea turbo ikiwa itafanyiwa service inavotakiwa
mkuu mbona umekimbilia kusema haiwezekani?? wakati mmnaamini inawezekana unabadili tu mainford na unafunga turbo inapiga mzigo vizuri kbs. labda cha kumshauri kama anataka kufanya hivyo ahakikishe engine yake iko pw sana sio ya kuunga unga
 
Mtalaam, hebu nisaidie kujibu hili swali " nina Prado box lina engine 3L ningependa kuweka turbo liwe na nguvu zaidi. Je ni nzuri au ndio naliloga? Naomba ushauri tafadhari"
inawezekana
 
Mdogo wangu kapeleka gari service, Gari inatumia Petrol wamemwaga oil na wameweka Oil inayotumika kwa magari ya Diesel, Japo imeandikwa kuwa inaweza kutumika kwa Engine za Diesel na Petrol lakini mi najua kuwa Oil ya Petrol Engine huwa ni kwa ajili ya Petrol Engine tu. Fundi aliyefanya service hiyo alisema haina shida... Je haitaleta matatizo kwenye Engine ya gari??
 
Funguo kung'ang'ania starter
mkuu funguo ina ng'ang'ania au starter yenyewe ndio shida?? ina maana ukipiga starter funguo huwa hairudi kwenye switch ON?? na je ukipiga gari ikiwaka na funguo ukiirudisha mwenyewe kwenye switch ON bado inaendelea kupiga??
 
Back
Top Bottom