Wahuni wanatia-nia pazuri sio utani Wallah mtoto nyuma umebarikiwa Mungu alikuumba ile siku aliyokua amepumzika naapia vileMr R mi siji huko nimeishalala
Jamaa anaenda kumgonga sasa kijisiri cha nini hapo tena watu wameipandia mpaka Ndege wakaitieHuna kijisiri hata kidogo cute?
Yaan kidogo tu.
Kweli binadamu tumetofautiana🙌
Nenda ukacheze na pumbu huko unaogopa nini mtoto wa kike kwani umeanza jana kuchezea rungu?Ni saa 4 na dk 2 usiku huu ananipigia simu,tunaongea anaanza kudai hakusafiri bado yupo Bk ananiomba niende Hotel fulani pembezoni mwa mji km 3 kutoka nilipo,namuuliza mbona ulisema umesafiri Uganda,anajibu amehairisha,aliyekuwa anaenda kumuona Kampala hajatoka Dubai"Namwambia usiku umeingia ,ananilazimisha niende
Kwani yeye ndio wa kwanza kukusumbua nenda kamtunuku mwenzio analala na upwiru na upo km 3 tu? Kwea ndinga hapo wahi mkachangamshe damuSijamtaja,ananisumbua tu
Kumbe uko bukoba dada ,naenda kufanya arobaini ya ndugu yangu juma lijalo ,tuonane hapo rwamishenye karibu na msikiti wa zamani nitakupa zawadi aisee nimefurahi wewe kuwepo bukobaSimu yangu inaita ilikuwa saa saba mchana wa leo,kwa kuwa nilikuwa kwenye kikao kazi kuhusu uchaguzi sikupokea simu,niliacha iite coz ilikuwa namba ngeni Baada ya kuita mara kadhaa sms ikaingia
"Naitwa R ulinipaga namba jf kipindi umekuja Dar,nipo Bukoba mjini naomba tuonane"
Nimejibu"Niko bize nitakutafuta baadae*
Saa 9 natoka kumtafuta simu yake inaita anapokea tunazungumza ananielekeza alipo naendapo tunakutana tunasalimiana na akajitambulisha na mimi pia
Akaniagizia kinywaji,Waiter analeta maji madogo
Baada ya dakika 20 hivi ananiaga kuwa anaenda Uganda kuna mzigo anaenda kuchukua,siku anarudi kati ya jumatano au Alhamis tutaonana tuongee zaidi
Anaondoka na mimi naita boda wangu ananipeleka kwangu kupumzika
Ni saa 4 na dk 2 usiku huu ananipigia simu,tunaongea anaanza kudai hakusafiri bado yupo Bk ananiomba niende Hotel fulani pembezoni mwa mji km 3 kutoka nilipo,namuuliza mbona ulisema umesafiri Uganda,anajibu amehairisha,aliyekuwa anaenda kumuona Kampala hajatoka Dubai"Namwambia usiku umeingia ,ananilazimisha niende
Mr R mi siji huko nimeishalala
Sijakwambia una njaa nimekwambia nenda ukaukalie mkuu, kwani hujaelewa nini hapo au unaogopa nini wewe kwa mfano?Mmmmh sina njaa
Aende sasa akalipie alichokula kwani si dakika 30, tena aangeenda mapema sasa hivi angekua amesharudiUlikula nauli aliokutumia😂😂😂
Aende ampe kimoja😂Aende sasa akalipie alichokula kwani si dakika 30, tena aangeenda mapema sasa hivi angekua amesharudi
Na wewe uje huku nikupe kimoja ndwiiiAende ampe kimoja😂
Nini sasa na wewee si uje basi dakika 30 tuIla Mr R 🤣🤣🤣🤣🤣