Umewahi au unaweza kukaa muda gani bila kushiriki mapenzi?

Kumbe inawezekana, nina mda kidogo....like two months na wala sijisikii chochote.
 
Kwa mwanandoa ni sawa na kumuuliza unakaa mda gani bila kunywa maji, na unajua maji ni uhai. Kwa wanandoa sex ni wakati wowote ili mshiriki katika kazi ya uumbaji. Mungu aliumba tu Adam na Eva, sisi ni kazi yetu kuongezea. Ni kosa kiimani kukaa mda mrefu bila sex, unapashwa ukaungame.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…