ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Kumbe wewe sister, natamani siku moja iwe....š¤£Masista wa katoliki tunakula kiapo kabisa pamoja na nadhiri
Kumbe wewe sister, natamani siku moja iwe....š¤£Masista wa katoliki tunakula kiapo kabisa pamoja na nadhiri
Nilikuwa sijitambui badoKwanini ulifanya?
Sasa acha kabisaNilikuwa sijitambui bado
Nina miaka minne sasa tokea niacheSasa acha kabisa
Pole sana. Japo sijaelewa hisia zako unacontrol vp? Mastbtn?Ni miaka mi 3 sasa tangu mume wangu afariki sijakutana na mwanaume mwingine na niko fresh tu