Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
Duuh! Toa ushuhuda sasa mkuuSio kweli mkuu, wanawake pisi ndo huwa Wanapenda kwa ukweli tena akipenda ndo kapenda haswaa,
Labda hujawahi kupendwa na wanawake wa sampuli hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh! Toa ushuhuda sasa mkuuSio kweli mkuu, wanawake pisi ndo huwa Wanapenda kwa ukweli tena akipenda ndo kapenda haswaa,
Labda hujawahi kupendwa na wanawake wa sampuli hii.
Mkuu kwa hapa naomba nipingane na wewe kwa uzoefu wangu binafsi.Sema ukweli usemwe wanawake wenye shobo + kupenda sana huwa ni wale wabovu yaani unakuta hawana demand ya wanaume kuwatongoza hivyo wanaogopa ukimuacha atabaki single. Ni nadra sana ukute pisi kali kakungangania kama ruba. La hasha.
Vivyo hivyo kwa mwanaume masikini
Duh sasa unaona hizo special cases maana zimekutokea mara 2 in yua laif .Mkuu kwa hapa naomba nipingane na wewe kwa uzoefu wangu binafsi.
Mimi nimeshakutana na mademu kama wawili wenye mapenzi ya kupitiliza. Wa kwanza alikua ni mtoto wa kiarabu kachanganya na mbondei wa Tanga. Yule mtoto alikua ni mzuri balaa! Hiyo rangi tu kwanza, halafu alibarikiwa shepu ya maana, nywele mpaka mgongoni. Yeye mwenyewe ilikuaga tukigombana ananiambia "hivi we unajua mi matajiri wanaonisumbua hapa mjini ni wangapi..?" Na mimi namjibu kwa kiburi "we wanawake wanaonisumbua mimi je, ukiwajua si utazimia wewe!" 😄😄. Yule demu pamoja na usumbufu wake ila nilivumilia nae zaidi ya mwaka kwa jinsi alivyokua pisi, ila mwisho uzalendo ukanishinda nikabwaga manyanga.
Wa pili huyo demu alikua anafanana sana na Wema Sepetu yule wa miaka ya 2000 kuanzia sura, shepu hadi mwanya ni kama Wema kabisa kasoro sauti tu ndio ya kichaga. Huyu nae alikua na mapenzi mpaka basi. Usumbufu hadi kero. Kikubwa zaidi kilichonifanya nikamuacha ni baada ya kuanza kufakamia ma bia na manyama choma akaanza kufutuka likitambi aah nikaona hapa hapa.. japo hadi leo huwa tunawasiliana ila kuna jamaa kamuoa.
Hana hela atakuwa mengine yote story tuuNadhani wadada wa hivyo wanakuaga na unafuu... mkaka ni anakera jamani😑😑