Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Kuna iyo moja asee ilinipenda siwezi kataa upendo wake kwangu

Imagine umelala ,then saa 12 asubuhi unasikia mlango unagongwa kufungua ni yeye ameufuata mkuyenge ilikua njema sana kwangu

Niseme tu alizidisha mapenz mno na mwamba sikuwa niko katika hali iliyo sawa. Nikawa namzingua tu

Kuna iyo siku alikuja mahala nafanyia kazi akaniomba tusepe amenimiss ,nikatii vizuri na kusepa ,njian alianzisha zogo had tunafika ghetto ugomv mkali

Mwamba ikabdi nimpuuze tu nikavuta shuka uku yeye akiwa anaongea

Ebwana lile shuka lilivutwa kutahamaki mtu kashika KISU mkononi ikabdi niwe mpole tukapatana ugomvi ukaisha

Mtoto akavua nguo zake tulale sasa,na ikibidi nimchakaze bao kadhaa..,mwamba nilishindwa niseme tu nililala naye kama dada yangu ,

Ile usiku sikupata usingz ,majira ya saa tisa usiku niliandika meseji ndefu sana kwnye
Simu yangu ya kulimaliza pendo ,

Kumbuka mtu nimelala naye alafu natuma meseji ya kumuacha akihamka asubuhi akutane nayo

Unaweza sema alikua kichaa lakini mimi nahamini alikuwa na upendo wa kupitiliza juu yangu



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Yaani kuna demu flani kipind nasoma secondary alikua ananipenda sana... Wakati nafanya pepa ya form four necta yeye alikua form three.... Kuna siku nafanya pepa ya hesabu mara nikasikia "HONEEEEEEEY" ghafla nikamwona huyo demu amekurupuka toka nje akaja akanibusu kwenye chumba cha mtihan halaf akasema "honey hauonekan"......... maaskar walimbutua makofi yule demu balaa
Chai ya baridi sana hii
 
2011 aisee nlikua chuo nikawabored sana sikuwa na girfriend, nikaja kumpata dada mmoja mpare wa moshi mrembo tu amaembia bizuri tu, mimi nlikua nasoma morogoro. Alikuwa secretari wa mahskama
Basi baada ya urafiki tulijikuta wapenzi.
Nikaomba aje morogoro akakubali ijumaa aje tukae whole weekend na j2 angarudi.
Sikuamini nlichokutana nacho. Ana kitundu kidogo mpaka sio poa yaan unalazimisha kupita hata km ameloa. Nlikula ile kitu mpaka miguu ikaishiwa nguvu.
J2 ilivofika nashangaa mtu ile asubuhi analia balaa kumuuliza aje akasrma mm siondoki, akaomba ruhusa job wakamruhusu tukakaa tena aliondoka j5. Tulikua gest.
Sasa simu ndo ikawa frequent hadi upo chooni anapiga, usipopokea ni kilio km kafiwa, usipompigia akikupigia analia, akafosi kila weekend awe anakuja sasa gharama zikanishinda ikabidi tu nijikatae kimtindo.
Nlimuumiza sana yule dada huwa nikikumbuka hadi leo huwa napata taabu sana, nishapoteza mawadiliano naye jina pia nishamsahau ila sura namkumbuka
Mkuu kwanini gharama ikushinde wakati alikupenda ilibidi ajigharamie mwenyewe.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?

Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!

Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
Mnaotafuta bikra ndio kama huyo sasa[emoji3]
 
Mimi nilikuwa nae mmoja wa ivyo ivyo nae ni single maza uyu nae muda wote text mara utasikia nambie kidg nambie muda wote kuchat tu kiukwel kero sana yan unajua kuna mtu yule analalama sana kidg lawama kiukwel anaboa sana mwisho wa siku kila mtu na hamsin zake
 
Kitaalamu hii inakua inasababishwa na nini?
Hii mara nyingi n ttzo la kisaikolojia ambalo lilianzia utotoni linaloitwa separarion anixiety ni au alilelewa na singo mama, au bibi na ndugu wengine tofaut na wazazi, au alishuhudia kukataliwa au alinyanyaswa sana utotoni hvo alilosa kuwaamin watu.

mtu kama huyo akiingia kwenye mahusiano anakuwa hamuamn mchumba ake hvo anatuwa na hofu mda wote na kutafuta attchment and proximity kwa huyo mchumba ake.
 
Back
Top Bottom