Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Hiki mnachokijadili humu ndo nachopitia saivi, mpak nawaza ni nin hiki Nimemfanya huyu mwanamke ?

Maan hat kam ningempa Limbwata lakn bado lisingefkia kiwango hiki cha mapenzi yaliyopitiliza anayoonyesha,

kuna muda hadi nliamua kuiacha tu simu hovyo ili aishike akute meseji nazochat na mpenz wangu mwngne ili akasirike tuachane ila cha ajabu amezkuta na ameniambia kanisamehe tuendelee yan kiukweli sielew nachomokaje hap Wakuu.

[emoji16][emoji16] umeyatimba
 
Yaani kuna demu flani kipind nasoma secondary alikua ananipenda sana... Wakati nafanya pepa ya form four necta yeye alikua form three.... Kuna siku nafanya pepa ya hesabu mara nikasikia "HONEEEEEEEY" ghafla nikamwona huyo demu amekurupuka toka nje akaja akanibusu kwenye chumba cha mtihan halaf akasema "honey hauonekan"......... maaskar walimbutua makofi yule demu balaa

Chaiiiiiiiii
 
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?

Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!

Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
2011 aisee nlikua chuo nikawabored sana sikuwa na girfriend, nikaja kumpata dada mmoja mpare wa moshi mrembo tu amaembia bizuri tu, mimi nlikua nasoma morogoro. Alikuwa secretari wa mahskama
Basi baada ya urafiki tulijikuta wapenzi.
Nikaomba aje morogoro akakubali ijumaa aje tukae whole weekend na j2 angarudi.
Sikuamini nlichokutana nacho. Ana kitundu kidogo mpaka sio poa yaan unalazimisha kupita hata km ameloa. Nlikula ile kitu mpaka miguu ikaishiwa nguvu.
J2 ilivofika nashangaa mtu ile asubuhi analia balaa kumuuliza aje akasrma mm siondoki, akaomba ruhusa job wakamruhusu tukakaa tena aliondoka j5. Tulikua gest.
Sasa simu ndo ikawa frequent hadi upo chooni anapiga, usipopokea ni kilio km kafiwa, usipompigia akikupigia analia, akafosi kila weekend awe anakuja sasa gharama zikanishinda ikabidi tu nijikatae kimtindo.
Nlimuumiza sana yule dada huwa nikikumbuka hadi leo huwa napata taabu sana, nishapoteza mawadiliano naye jina pia nishamsahau ila sura namkumbuka
 
Pole mkuu huenda yupo humu JF kwa sasa ukute labda ndio anajiita To yeye 😄
 
Nataman hadi kuroga ili nami nionje japo tone la huo upendo nyie mnaukimbia. Kweli tumetofautiana
Ukiona kitu watu wengi wanakikimbia ujue hata wewe kuna uwezekano mkubwa utakimbia pia.. Mwanzoni utafurahia ila baada ya mda utaona kero na kutoka nduki kali
 
Hiki mnachokijadili humu ndo nachopitia saivi, mpak nawaza ni nin hiki Nimemfanya huyu mwanamke ?

Maan hat kam ningempa Limbwata lakn bado lisingefkia kiwango hiki cha mapenzi yaliyopitiliza anayoonyesha,

kuna muda hadi nliamua kuiacha tu simu hovyo ili aishike akute meseji nazochat na mpenz wangu mwngne ili akasirike tuachane ila cha ajabu amezkuta na ameniambia kanisamehe tuendelee yan kiukweli sielew nachomokaje hap Wakuu.
🤣🤣🤣Anaweza hata akakuta hizo meseji msamaha akaomba yeye!
 
Back
Top Bottom