Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

siku aliniita kwake usiku ile kufika tu alinirukia aisee ile siku kusema kweli nilibakwa manake sikua nimejiandaa 😄

Mwanaume habakwi.. anayataka. 😃

 
Sema ukweli usemwe wanawake wenye shobo + kupenda sana huwa ni wale wabovu yaani unakuta hawana demand ya wanaume kuwatongoza hivyo wanaogopa ukimuacha atabaki single. Ni nadra sana ukute pisi kali kakungangania kama ruba. La hasha.

Vivyo hivyo kwa mwanaume masikini

Kila mtu ana kiboko yake, hata izo pisi kali zina crush kwa watu fulan yani zinakua hazielewi
 
Umenikumbusha first love yangu nilikapenda kamkaka kanaitwa Emmanuel kanajifanya kalokole

Sema tulipendana sana mimi nikiwa form5 yeye chuo… yaani mpk tunaachana Hakuna mtu alitegemea kila mtu alijua tutaoana

Basi yule jamaa alianza vituko nikiwa mimi naanza mwaka wa 1 yeye ameshamaliza chuo… mimi tena ndio nampenda kufa simu kila saa asipopokea mimi ni Malala Mimi alikuwa naongea na nani… yaani ikawa kero akawa na yeye ananijibu shit weeee akajaga kuniacha nilitishia kujiua alivurugwa kunitafuta sipokei simu kumbe hata sikuwa na mpango wa kujiua baadae nilipotulia nikawasiliana nae alinitukana yule kaka sisahau

Kauli zake sasa

Nimekupa nini mpk unaning’ang’ania niambie nikurudishie

Au kosa langu kukutongoza [emoji24][emoji24]

Hanitaki yaani hata iweje hatuwezi kuwa wote

Nakurudishia namba yako sitaki tena unitafutee [emoji23][emoji23][emoji23]

Shezi sana niliteseka mimi nikajikuta nimeingia mahusiano mengi kipindi kile

After two years akarudi et anataka tugange ya jayo nilichofanya nikawa namlia hela yaani Kama sina hela ni kumuomba tu na alikuwa ananipa mwisho akachoka siku hizi simuoni hata WhatsApp

Ila mapenzi ya kugandwa gandwa ni mabayaa yana kera nilikuja kupata mtu huyo aliniganda kama ruba halafu alikuwa wa magandwa [emoji23][emoji23] yaani ndani ya wiki 2 alinitambulisha mpk ukoo wake… nilivopata upenyo mbio nilikimbiaa maana alikuwa mtu wa wivu na hasira
Ila haya maisha bana.. nimefurahi kwamba na wewe ulipata mtu wa kukuganda ukaona jinsi inavyokera, so ukamuelewa imma kwanini alikuacha 😄😄

Nakumbuka mimi pia niliwahi kuwa na demu ambae ananiganda sanaa... baada ya kuachana nae nikapata demu mwingine ambae hakua na time kabisaaa na mimi! Yaani usipomtafuta mnaweza maliza hata mwezi hamjawasiliana! Hakuulizi chochote, umtafute usimtafute sawa tuu.. aisee nikajikuta mimi sasa ndio natumia mda mwingi kumtafuta nikaanza kuona bora tena na yule aliekua ananiganda 😀
 
Mkuu wanawake wa hivyo ni wakupiga chini, wanawake ni wajanja sana anajifanya kakolea kumbe anakufanyia heart analysis na ole wako upumbazike hakuna rangi utaacha kuona kwenye hii dunia.

Wanawake ni wajanja sana na wanatuonaga sisi wanaume ni wajinga
Heart analysis ni nini mkuu..?
 
Ulimkosea sana muumba mkuu!!

Ipo siku utamkumbuka huyo Binti!

Ungetafuta namna ya ku handle Hali ile sio kubwaga manyanga!!

Ulimkataa mke uliepewa na Mungu mkuu!!

Kwa kawaida upendo wa Binti ukizidi kwako ni dalili kuwa mungu amekupa huyo!!

Kwa kawaida.wanawake wengi Huwa hawapendi kirahisi sisi wanaume!!yaani wengi wapo kimaslahi tu!!

Kwa usalama wako nenda kapige magoti umuombe Mungu msamaha labda anaweza kukusamehe!!

So sad!you handled badly!!
😄😄😄😄 nilishaoa kaka
 
Yaani kuna demu flani kipind nasoma secondary alikua ananipenda sana... Wakati nafanya pepa ya form four necta yeye alikua form three.... Kuna siku nafanya pepa ya hesabu mara nikasikia "HONEEEEEEEY" ghafla nikamwona huyo demu amekurupuka toka nje akaja akanibusu kwenye chumba cha mtihan halaf akasema "honey hauonekan"......... maaskar walimbutua makofi yule demu balaa
 
Namaanisha umewahi kupendwa na mtu sana, wakati wewe sio kiviile.. mpaka ukaogopa.. ukaona kabisa tunakoelekea huyu atakuja kufanya kitu cha ajabu.. au atakuja kuniletea matatizo. Yaani unapendwa hadi inakua kero..!? Kuna muda mapenzi yakizidi aisee inaboa mtu mpaka unaona ni nini hiki Mungu baba?

Kuna binti mmoja nilianzisha naye mahusiano kiutani utani tu.. baada ya muda binti si akakolea? Jamani yule binti alikua ana mapenzi ya kitoto yaani kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi. Mwisho nilishindwa nikaamua kubwaga manyanga japo demu alikua pisi balaa!

Vipi wewe umewahi kukutana na hali kama hii ukaona inavyokera?
Wadada wafupi wanajua sana kupenda, hata ukisema upo uwani unapigiwa video call😂😂
 
Back
Top Bottom