Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utamuona mtu ni kero hata kama hakutafuti/hakugandi sana kwa sababu tu humpendi, ila kwa unaempenda ni raha.Hii ni kweli😂
Yes! Mkipendana mnagandana 24/7/365 hiyo ndo rahaaUtamuona mtu ni kero hata kama hakutafuti/hakugandi sana kwa sababu tu humpendi, ila kwa unaempenda ni raha.
Sio lazima kugandana 24/7/365 ila mzani ukibalansi ni raha, kupata mtu sahihi ni raha sana.Yes! Mkipenda mnagandana 24/7/365 hiyo ndo rahaa
Hiki mnachokijadili humu ndo nachopitia saivi, mpak nawaza ni nin hiki Nimemfanya huyu mwanamke ?
Maan hat kam ningempa Limbwata lakn bado lisingefkia kiwango hiki cha mapenzi yaliyopitiliza anayoonyesha,
kuna muda hadi nliamua kuiacha tu simu hovyo ili aishike akute meseji nazochat na mpenz wangu mwngne ili akasirike tuachane ila cha ajabu amezkuta na ameniambia kanisamehe tuendelee yan kiukweli sielew nachomokaje hap Wakuu.
Vizuri kama ulifanikiwa kuachana naeBaada ya kuwa tumeingia kwenye mgogoro (kila wakati anataka tuwe pamoja)mawasiliano kila dakika, nikichelewa kujibu sms taabu, akipiga simu ikawa inatumika taabu, kaniganda kama kupe, nikaanza kumpotezea na kumkwepa mdogo mdogo shida ikaanzia hapo. Tukakorofishana nikamwelezea mapenzi yaishie hapo.....ilikuwa shida sana kwao ikamlazimu amweleze mama yake kila kitu kutuhusu
Bora maana ungeishiwa kulabwa shabaUmenikumbusha first love yangu nilikapenda kamkaka kanaitwa Emmanuel kanajifanya kalokole
Sema tulipendana sana mimi nikiwa form5 yeye chuo… yaani mpk tunaachana Hakuna mtu alitegemea kila mtu alijua tutaoana
Basi yule jamaa alianza vituko nikiwa mimi naanza mwaka wa 1 yeye ameshamaliza chuo… mimi tena ndio nampenda kufa simu kila saa asipopokea mimi ni Malala Mimi alikuwa naongea na nani… yaani ikawa kero akawa na yeye ananijibu shit weeee akajaga kuniacha nilitishia kujiua alivurugwa kunitafuta sipokei simu kumbe hata sikuwa na mpango wa kujiua baadae nilipotulia nikawasiliana nae alinitukana yule kaka sisahau
Kauli zake sasa
Nimekupa nini mpk unaning’ang’ania niambie nikurudishie
Au kosa langu kukutongoza [emoji24][emoji24]
Hanitaki yaani hata iweje hatuwezi kuwa wote
Nakurudishia namba yako sitaki tena unitafutee [emoji23][emoji23][emoji23]
Shezi sana niliteseka mimi nikajikuta nimeingia mahusiano mengi kipindi kile
After two years akarudi et anataka tugange ya jayo nilichofanya nikawa namlia hela yaani Kama sina hela ni kumuomba tu na alikuwa ananipa mwisho akachoka siku hizi simuoni hata WhatsApp
Ila mapenzi ya kugandwa gandwa ni mabayaa yana kera nilikuja kupata mtu huyo aliniganda kama ruba halafu alikuwa wa magandwa [emoji23][emoji23] yaani ndani ya wiki 2 alinitambulisha mpk ukoo wake… nilivopata upenyo mbio nilikimbiaa maana alikuwa mtu wa wivu na hasira
Bora maana ungeishiwa kulabwa shaba
Sio kweliSema ukweli usemwe wanawake wenye shobo + kupenda sana huwa ni wale wabovu yaani unakuta hawana demand ya wanaume kuwatongoza hivyo wanaogopa ukimuacha atabaki single. Ni nadra sana ukute pisi kali kakungangania kama ruba. La hasha.
Vivyo hivyo kwa mwanaume masikini
🤣🤣🤣🤣Jamaa alikuwa ana mwaga sana hela ili anidhibiti shida yake wivu mwingi sana.. kiasi kwamba alifanya chapu kujitambulisha ili ani hold weeee siku aliponiita we demu nikaona atakuja kuniua nikamwacha kwasababu hiyo kwanini aniite demu ni dharau [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwann?Sio kweli
my current situation now, halafu hatuna hata miezi sita ameshaanza kulalamika anataka ndoa. Nipo njiani kubwaga manyanga!!!kila dakika anataka kuwa na mimi, nikiwa nae hataki niondoke, nikiondoka ni simu kila dakikaa yani hadi nashindwa kufanya kazi! Na ole wangu atume msg nisijibu.. inakua kesi.
Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mzuri tu na anatokea kwenye Familia yenye hela Ila tabia ilikuwa hii hii inayozungumziwa hapaKwann?
Of course kutakuwa na exceptions ila mostly ni hivyo.Nimewahi kuwa na mahusiano na mdada mzuri tu na anatokea kwenye Familia yenye hela Ila tabia ilikuwa hii hii inayozungumziwa hapa
We nawe umepita kwingi...😅Asa ukutane na mkaka ndo ana tabia hizo😌😌