Umewahi kuachana na mtu kisa kazidisha mapenzi?

Kuna mmoja nilimwacha tu kiaina maana kila mala uko wapi unafanya nn abilia chunga mzigo wako, nikaona hapa itakuwa kimeo itabidi nimbwage,

Lkn huyu wa sasa anasema hakubali ila sijui atanifanya nn maana tuna mwezi tu lkn hapana leo nimemwamvia ukweli kmba siwezi kuendelea kuwa nawe sasa toka ile nimemwambia ni vurugu tu, yaani anatamani hata kuja home lkn akikumbuka home kuna mlinzi bint anabaki kuwa mdogooooo
 
Huwa wanakuwa na aina fulani hivi ya utoto,, wanakera sana, ukitaka uone kero zaidi fanyiwa huu utoto na mtu mwenye age above 25 😑
 
Sema ukweli usemwe wanawake wenye shobo + kupenda sana huwa ni wale wabovu yaani unakuta hawana demand ya wanaume kuwatongoza hivyo wanaogopa ukimuacha atabaki single. Ni nadra sana ukute pisi kali kakungangania kama ruba. La hasha.

Vivyo hivyo kwa mwanaume masikini
Mkuu kwa hapa naomba nipingane na wewe kwa uzoefu wangu binafsi.

Mimi nimeshakutana na mademu kama wawili wenye mapenzi ya kupitiliza. Wa kwanza alikua ni mtoto wa kiarabu kachanganya na mbondei wa Tanga. Yule mtoto alikua ni mzuri balaa! Hiyo rangi tu kwanza, halafu alibarikiwa shepu ya maana, nywele mpaka mgongoni. Yeye mwenyewe ilikuaga tukigombana ananiambia "hivi we unajua mi matajiri wanaonisumbua hapa mjini ni wangapi..?" Na mimi namjibu kwa kiburi "we wanawake wanaonisumbua mimi je, ukiwajua si utazimia wewe!" 😄😄. Yule demu pamoja na usumbufu wake ila nilivumilia nae zaidi ya mwaka kwa jinsi alivyokua pisi, ila mwisho uzalendo ukanishinda nikabwaga manyanga.

Wa pili huyo demu alikua anafanana sana na Wema Sepetu yule wa miaka ya 2000 kuanzia sura, shepu hadi mwanya ni kama Wema kabisa kasoro sauti tu ndio ya kichaga. Huyu nae alikua na mapenzi mpaka basi. Usumbufu hadi kero. Kikubwa zaidi kilichonifanya nikamuacha ni baada ya kuanza kufakamia ma bia na manyama choma akaanza kufutuka likitambi aah nikaona hapa hapa.. japo hadi leo huwa tunawasiliana ila kuna jamaa kamuoa.
 
Duh sasa unaona hizo special cases maana zimekutokea mara 2 in yua laif .

Sidhani kama itakuja kukutokea Tena mkuu
 
Back
Top Bottom