Ubinafsi unatuponza mamy!!! Tumekua wabinafsi mpaka tunapoteza utu.Mkuu kutetea uhai wa MTU kunaanza taratibu... Mfano una jirani anaefinya watoto na kisu, tena anakiweka jikoni kwenye moto, au anapiga watoto sana, kemea mwambie ni kinyume na taratiibu ya malezi ya mungu, Nachukia wazazi "wanaopambana na watoto wao" MTU unamkanyagakanyaga mtoto why.....
Kasheshe nyingine ni watoto Wa kambo... Kuna wanaoteseka mpaka basi......dahUbinafsi unatuponza mamy!!! Tumekua wabinafsi mpaka tunapoteza utu.
Ninavyofahamu watu wenye hofu ya mungu wanawalea vizuri kwa upendo badae akianza kukosa heshima baada ya kugundua wewe so mama yake, by the time akiwa 20's ndo unasema nilijitahidi ngoja niache yaishe km ataharibika basi lakini mtoto Wa 8 yes anateswa km vile alichagua kuzaliwa kwa bahati mbaya!!!! Jamani.... Aisee kuna jirani Yangu ana maneno anamwambia mwanae Wa kambo" akili yako inakaa mk.u.d..u..ni[emoji24] Mie nalea mamako yuko bize anavunja ndoa za watu tu[emoji24] [emoji24] ila kwanzia amenifahamu mie misimamo Yangu nikiwepo hasemi maneno Makali Makali..Sijui ugumu unakuja wapi kumlea mtoto wa mwenzako kwa upendo!!!
Hahah umenikumbusha mbali.hiyo tekniki mpaka leo wazazi wangu wanaitumia,akiona amekufanyia kosa au amekukera anatafuta kazawadi anakuletea na kesi inaishia hapo[emoji23][emoji23][emoji23] mwingine anakupa kipondo alafu unatoka hapo anakuita kuchukua hela ukanunue biskuti!!! Yaani maumivu yanaisha hapohapo!!!
Mimi nimeishi maisha ya chini ya chini. Namaanisha ukitoka maisha ya chini ndio yanafuata maisha yetu. No video. No Radio.
So nina Experience ya vitu vingi sana hasa utotoni no kudekezwa. Ngoja nisome kwanza comments then namm nitupie kipigo heavy changu nilichopata toka kwa Maza wadogo na faza wadogo
Umegundua nini sweetyPole sana.nimegundua kitu.pole tena
Umegundua nini sweety
Haya nakusubiri bibieKuna kitu nimegundua halafu kama kinanitia huzuri hvii.ngoja kwanza nije huko kwa prime minister
Haya nakusubiri bibie
Hahaa Tatizo hufiki unaishia tu kusema lkn sikuoni.Sawa babuye wang mimi
Hahaa Tatizo hufiki unaishia tu kusema lkn sikuoni.
Sawa binti.No hurry in Africa especially Tanzania [emoji1241]
Sawa binti.
Ngoja nipange viti vya kukalia
Sawa ngoja nikusubirie kwa hamu zoteusisahau drinks kusindikiza maongezi
Sawa ngoja nikusubirie kwa hamu zote
Ok njoo sasa acha maneno mingi.Swadakta drlin
Daah. Hili neno "mpaka ushangae" Mchungaji wetu sahivi analitumia Sana na tena anaimba kabisa huo wimbo.Mungu atakubaliki mpaka ushangae!!!
Hakika. Juzi mama alikua na check up jakaya Kikwete cardiac institute na kaenda mwenyewe na karudi mwenyewe. What a miracle from kubebwa hadi kwenda mwenyewe ndani ya miezi minne.Ndo baraka za Mungu zilivyo... Zinakuacha umeduwaa