Hdi miak ishirin unachapwa lohMmh... mi nimechapwa hadi niliwachukia. Tena saingine kosa la mmoja tunapigwa wote watatu. Mdogoetu alikua mdogo.
Nilichokuja kugundua baadae ni kua wazazi walikua na stress mno.
Watu na ndugu walitamani maisha yetu ila hawakujua tu yanayoendelea. Migogoro yao ya ndoa ilitutesa sana sana.. SANA!
Mkisikia ukatili kwa watoto ndio ule. Kila siku Nilitamani kuihama ile nyumba. Nilivyomaliza six tu nikabahatisha kibarua cha hela nzuri halafu mkoa wa mbali. Nilishukuru
Mdogoangu anaenifatia ni wa kiume. Yeye alifaulu mkoani kuanza kidato cha kwanza ikawa sababu. Hakurudi tena hata likizo.
Nimepigwa hadi form 6 nachapwa vikosa vyenyewe sasa. Saingine kutoa Radio Tumaini kuweka radio One.
Wow! God be praisedHakika. Juzi mama alikua na check up jakaya Kikwete cardiac institute na kaenda mwenyewe na karudi mwenyewe. What a miracle from kubebwa hadi kwenda mwenyewe ndani ya miezi minne.
Imagine wakati anaanza kuumwa pressure was 280/180.
Mbna wanicheka miss chaggaha ahaaha
vituko vyakoMbna wanicheka miss chagga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MAISHA BANA watu tumeshapigwa mikanda ya kijeshi, virungu vya MP, waya wa pasi, mipini ya visu, mikia ya taa(samaki), hinzirani, bakora za mianzi, daah!! Kipindi cha utoto nilikuwa mkorofi sana.
Sahivi napigwa na maisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Dah nakumbuka darasa la nne nilipigwa fimbo na walimu wawili na mlezi akawa wa tatu.nilikua mtoro sugu.asubuhi natoka nyumbani na uniform sifiki shule.nilichapwa bakora mbele ya wanafunzi wote.
We mi sikuwezi paprika[emoji87] [emoji87]Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duuuuu
Mimi nakumbuka tuliiba matunda kwenye bustan ya mzee jiran yetu
Bas bwana Yule mzee hakuangaika kutufukuza akatuacha tu
Tulikula yale machungwa tukashiba sana
Ile kurud saa moja jion namkuta mzee tuliyeiba matunda kaketi sebulen wanapiga story na bi mkubwa
Duuuuu Ile kuingia jikon namkuta sister anarukaruka ananicheka
Mwanaume nikajua picha ishaharika
Nikaanza kulia chumbani kabla hata ya kesi
Gafla hata choz halijafika shavun namwona maza huyu ana ifunga kanga vizur
Alinikusanya chini ya miguu yake...... Alinifinya kwenye paja, kwapa, matakon n. K
Nachokumbuka nililalala wiki nzima kwa kuumwa
Hii ilikuwa darasa la tatu
Duuuuu
Mimi nakumbuka tuliiba matunda kwenye bustan ya mzee jiran yetu
😛😀
Enhe! Makubwa, [emoji704] au?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji38] [emoji38] [emoji38] Toto tundu wewe..nilikua mroho sana wa nyama....naweza kuiba nyama za kwenye mboga zote......nilikua napigwa sana...