Umewahi kuchapwa/kupigwa na mzazi/mlezi?

Mimi mama alikua ananitikisa tikisa tu na kuniambia sasa Wenawe nichape wapi make sioni hata pa kupiga mwishowe nikuue tu ananiambia hebu toka hapa
Hahahahaa ndio mama yangu siku hizi anamwambia mdogo wangu wa mwisho yaani kamwili kenyewe hata kwa kuchapa hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu she died from cancer, ila alilala chini miezi miwili lakini mwaka mzima aliugua sana.

Yani nyumba ilikuwa ni full of stress, yani tangu wadogo maisha yaliandamwa na vipigo vikali vikali, imagine nikiwa drs la pili tayari nilikuwa namuogopa mama, mbaya zaidi Tabia ya kunyimwa chakula ikapelekea udokozi Wa hela sasa ohoooo! Fimbo jamani tena ukiwa uchi. Wakati mwingine upupu anauweka kwenye Gunia alafu unavua nguo unaambiwa uingie humo, alikuwa ana pesa ila haya hazionekani( nahis hata mungu alichukia) hakuwahi kukaa na sisi km binti zake au rafiki zake,... Tukiwa tunatoka shuleni jioni nilimuangalia my lovely twin nikawa naona jinsi sura yake inavyojaa hofu wakt wenzetu wanashangilia kwa kelele "kwaheri mwalimuuuuu"... Simanzi asubuhi hakuna chai, shuleni mchana hakuna msosi, na ukikaa vibaya Nyumbani pia mnaweza kuacha kupika..
Alikuwa MTU Wa kutafuta kasoro muda wote MTU Wa kubeza, majirani walipenda kutupa msaada Wa chakula ila waliogopa ukali wake. Heeeeee!!!!!! Nilikuwa nikijiona Mie siyo MTU kabisa, nikawa naogopa hadi watoto wadogo.. Kuna Sikh moja alitufungia nje hadi asubuhi tukajibanabana kwenye magofu na baridi na mbu[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Alianza kupunguza ukali na kupiga tulipoenda kidato cha 5 Mie nilienda musoma nikakaa hukohiko hadi nikamaliza, twin akichaguliwa arusha... From there tulijitambua kuwa na die ni mabinti wazuri, tukaanza kuheshimiana na kupendana zaidi,
Tulifaulu chuo kikuu, mwaka Wa kwanza mama aligundulika kuwa ana maradhi ya cancer, nilimuuguza kwa UPENDO MKUBWA SANA, KWA GHARAMA KUBWA KWA KUJITOA BILA KINYONGO!! 2014, Aliaga dunia. Mungu amrehemu na ampumzishe kwa amani.

Huyu ni mama wa kambo au?
 
Mimi niko darasa la 6, siendi shule, sasa nikiambiwa nilete daftari zikaguliwe na mama nazificha zingine nachagua zile nilizojisahihisha mwenyewe, siku moja nikaambiwa nipeleke nikaficha kama kawaida yangu kumbe dogo ananionaga, siku hiyo akaja akasema "mama huyu anafichaga zingine chini ya godoro" akaambiwa akazilete nilikula kipondo cha hali ya juu
 
Nilikuwa mtundu sana nilipokuwa primary, kuna siku mzee alirudi na radio mpya, nikaifungua yote, nikashindwa kuifunga, na hii ilikuwa radio ya tatu kuiharibu. Sasa mzee aliporudi toka job alipa bakora nne za maana, na adhabu ikaendelea kwa wiki nzima kila akitoka job ni salam na fimbo moja then tunaendelea na mambo mengine.
Maskini dingi aliharibu ndoto zako maybe sasa ungelikuwa bonge la fundikira
 
Aisee nyie watu mmenikumbusha mbali;Nikiwa darasa la 5 mie na dogo wa darasa la 3 tulitoka home wakati tunakwenda skuli tukapita kwa babu yetu aliekuwa anaishi peke yake,kwa muda huo alishaenda shamba,kwa umaster wangu nilikuwa nshapeleleza anakoficha funguo za nyumba yake,huku na kule tukazama ndani na kuiba akiba yake tsh 2000 na hapo ni mwaka 1991 ilikuwa pesa ndefu,halafu hao tukaingia skuli tukanunua pipi machungwa za kutosha,biskuti za malaria,tukagonga tongwa (omlamba)Karagwe moja,mabumunda (akabalagala)nk.
Kumbe wakati tuinaingia kwa babu kuna jirani alituona ila hakuwa na wasiwasi nasi kwani anatujua km wajukuu,so alivosikia mshua analalamika kuhusu pesa na akatutaja!!!!!!So babu akaenda home kumweleza maza na dingi!!.
Ile tunashangaa mara maza akatinga skuli tukachomolewa class mimi na dogo no stori njiani na maza yeye nyuma sisi mbele ukimcheki maza machozi yanamlenga,sisi hapo tulichajua what next,mara moja kwa moja kwa babu tunazama ndani tunamkuta baba na baba yake wamekaa mkao wa kuuua.
Kimbembe sasa jana yake nilikuwa nimeiba debe mbili za kahawa mbichi(maarufu km obutula)wa Karagwe wanajua hii nilishauza tena nazo niiba kwa babu,sasa bwana mie nikawa sina uhakika na tukio lipi limefumuka;So tukapewa mtego tutaje kosa letu wenyewe kabla ya kipondo duu nikajaribu bahati na kutaja wizi wa kahawa ambao walikuwa hawajui!!!!
Aisee ghafla niliona giza!!Kesho yake nikiwa hospital nimelazwa bandage kubwa kichwani nikaambiwa na sister kuwa maza alinipigia na mchi wa kupigia maharage nikazimia!Nasikia dogo hakuguswa kutokana na na Hilo tukio make maza alijua ameua,Kusema kweli nilimchukia mama angu toka siku hiyo kwa kipindi kirefu na kamwe sikuibaga tena but kadri nilivozidi kuwa mkubwa nilijua ukubwa wa kosa uliomfanya maza ajaribu kuniua!!Leo ni kijana mzuri na mwenye mafanikio ya kati na familia bora,acha mama aitwe mama Kwan bila hivyo labda ningelikuwaga shiiida!
 
Sorry kwa uandishi biskuti za Marie sio malaria biskuti hizo zilikuwa maarufu enzi hizo
 
Kabisaaa
 
Mimi niko darasa la 6, siendi shule, sasa nikiambiwa nilete daftari zikaguliwe na mama nazificha zingine nachagua zile nilizojisahihisha mwenyewe, siku moja nikaambiwa nipeleke nikaficha kama kawaida yangu kumbe dogo ananionaga, siku hiyo akaja akasema "mama huyu anafichaga zingine chini ya godoro" akaambiwa akazilete nilikula kipondo cha hali ya juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mm nakumbuka nilifanya kosa mama akataka kunichapa baba akamwambia nikabidh huyo mtoto akaningiza ndani
,nje watoto kibao . baba akapiga fimbo pembeni kisha akaniachia nitoke akiniambia nilie mama asijue
Nikalia kiuongo kumbe mama kashtukia baadae nimetulia nikashtukia fimbo za miguu ilikuw raha kama muvi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baba yako nae!!! Si angalau angekuchapa kidogo cha kutafutia machozi!!!
 
Daah!! Mi darasa la sita nilichangiwa kuchapwa na walimu staff room! Mimi na rafiki yangu! Tulikamatwa tunachokonoana [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]

Duh ha ha ha nikubalie basi ombi langu
 
Nilimgegeda dem flan mtoto wa mpangaji wetu,aseeh yule dingi ni alinitembezea kichapo sitasahau.Wiki nzima naogeshwa maji ya moto na kukandwa mwili
 
Back
Top Bottom