Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Yaaani Anaboa Sana duuuuuuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama lengo lake lilikua hivyo basi 90% mambo yameenda tofauti na alivyotarajia

Kwasababu watu tumeona udhaifu wake na sio msoto wake
Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?
 
Mc pilipili kawa kibonge nyanya mtambi huo, aanze kazi ya kulialia tu kuchekesha hawezi yule

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?
Haioneahi unyenyekevu inaonesha ume fake mbele za watu ili wakuone ni mnyenyekevu

Kwaiyo kwako mtu mnyenyekevu ni lazima apige magoti?

Kungekua hivyo basi ndoa zote zilizofungwa kwa kupigiana magoti zisingevunjika wala kusingekua na migogoro ya kindoa kwasababu walioana wote ni wanyenyekevu

Wazungu wakifanya hawakosei?

Ni mangapi ambayo wanafanya wazungu na mnakatazwa msiwaige wazungu?

Wazungu wamehalalisha hadi ushoga we utakubali ushoga kwasababu wazungu wanafanya?

Hiyo tabia ya unyenyekevu ya kupiga magoti unaifanga siku zote za maisha yako au unafanya hapo kwenye hilo tukio kwasababu umeona walio wengi wanapiga magoti?
 
MC Pilipili kaamua kuongeza products ktk soko lake..

yy kuwa mchekeshaji ni njia ya kujipatia kipato zaidi na hata baadae anaweza pia kuwa mchungaji kama Masanja Mkandamizaji.

pia kwa sasa ana family;lazima ajiongeze

kikubwa hakabi...so anahitaji support!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo kwako mtu mnyenyekevu ni lazima apige magoti?
Unyenyekevu unadhihirishwa kwa njia nyingi, hakuna limit. Kupiga magoti ni njia mojawapo ya kuonyesha unyenyekevu wa jambo..mfn kuomba msamaha, ukiamua unapiga magoti au unaacha..kwahy pilipili aliamua kuonesha kwa mpenzi wake na si kosa bali ni tfsir za watu.

Kungekua hivyo basi ndoa zote zilizofungwa kwa kupigiana magoti zisingevunjika wala kusingekua na migogoro ya kindoa
Tofautisha tukio na tukio..uvishwaji wa pete ni tukio moja na ndoa kuvunjika ni tukio la pili..hivyo ni vitu viwili tofauti.

Wazungu wakifanya hawakosei?

Wazungu wamehalalisha hadi ushoga we utakubali ushoga kwasababu wazungu wanafanya?
Wazungu kufunga ndoa wanafunga, iwe ni ushoga au kawaida ni lazima unyenyekevu uwepo na wao ni kupitia kupiga goti kama pilipili alivyofanya..ni hivyo kweny ushoga, ni yule anayeolewa ndy anapigiwa..dhana ya kuiga ushoga iache, chukua dhana ya sub-actions ndani ya mchakato wa kufunga ndoa

Hiyo tabia ya unyenyekevu ya kupiga magoti unaifanga siku zote za maisha yako au unafanya hapo kwenye hilo tukio kwasababu umeona walio wengi wanapiga magoti?
Hii ishu inategemea na tukio, siwezi kuja ofisin kuomba kazi hlf nipige goti.

kupiga goti siyo ishara ya unyonge..
Mfn Kuomba msamaha kwa mpenz wako unaeza piga goti ukiamua.
 
Watazamaji wa show zake hufurahia jinsi yeye mwenyewe anavyocheka

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Kenya kuna sam kioko yule dogo fundi sana...bongo ninayemkubali ni Mpoki kwenye standup comedy yuko vyema.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wengi ni mashoga na watanzania nao wawe mashoga?

Hayo mambo ni ulimbukeni na kuigaiga kusipokua na mpango hakuna faida yoyote,,angalia hata kwenye birthday watu wanavyoingia gharama za kipuuzi vijana kwa wazee.
Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…