Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Inawezekana maana watu tumetofautiana
Kuna wadau wanachekeshwa hadi na ashaboko
Mimi mtu anayelia kisa mwanamke au kuhamasisha wanaume wampigie goti mwanamke wakati wakuvishana pete mtu huyo kwangu ni kero
Hii ndo mada nzima ya uzi huu!