Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Comment yangu niliponda na mtu kalike unaona akili zetu za kupenda watu watokewe na mabaya halafu kulike ina maana alifurahia

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari zenu, kwanza nianze kumpongeza MC Pilipili kwa kupambana, kwa ujumla ni MC mzuri sana tu, turudi kwenye mada.

Mimi ni mdau mkubwa wa vichekesho vya ndani na nje ya nchi yetu. Kimsingi sikumbuki kama kuna siku nimewahi kuchekeshwa na MC Pilipili.

Huwa naangalia vipindi vyake vinavyoitwa vya ucheshi lakini hajawahi kunichekesha hata siku 1, huwezi mfananisha na mtu kama Joti au ile timu ya Mizengwe nk.

Kwa maoni yangu nadhani huyu bwana ni MC na si mchekeshaji au kuna wanao chekeshwa na MC Pilipili?
Hamna kabisa, wala hachekeshi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nikionaga ata tangazo lake tu nazima Tv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilitakiwa hapa tuje na maoni ya Mc pili pili afanye nini ili awe bora zaidi ya alivo kipi aongeze ili asonge mbele yaani roho zetu watanzania ni mbaya sijawahi kuona hii tabia ya kukatisha watu tamaa ni mbaya sana inawarudisha nyuma watu wengi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Huu sio uzi wakwanza kumjadili kama ungekua unatumia browser ungeona suggestion nyingi za nyuzi ambazo zina relate na hii

Huyo hatumchukii eti kwasababu anamafanikio.

Hapana sio hivyo, halafu sijui kwanini kila mtu ambaye anakosolewa na watu fulani basi watu hao huonekana kama wanafanya hivyo kwa kusukumwa na wivu na kundi ambalo linamuunga mkono mtu huyo??
 
Huyo jamaa anaitwa MC Mandevu,kwa stand up comedy anajitahidi,kuna moja alinichekesha "mimi ni mwalimu,sioni tabu kusahihisha madaftrari 1000 au 500,mi kufundisha siyo ishu,noma ni pale mtoto wa watu avute bangi zake aniletee,ajaribu kunipiga,nitamtandika,nitampiga vichwa ,nitamtoa meno,najua uongozi wa shule utanirishisha kwa kumfukuza shule,nitamfuata kwao na masela zangu,tutampiga baba yake,nitampiga na mama yake,tutapiga na paka wao,hata kama kuna baiskeli imeegeshwa hapo nje kwao nitapiga,anipige kwa mshahara upi?""

Jamaa yupo vizuri
Wabongooo salute!

Nishawahi kuchekeshwa nae mara moja, kuna clip alikuwa anaongelea tabia za skuli enzi hizo. Ilikuwa nzuri

Ila Kwa Bongo kuna CHEKA TU inaoneshwa EATV, kuna jamaa ana madevu. He is talented sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MC Pilipili kaamua kuongeza products ktk soko lake..

yy kuwa mchekeshaji ni njia ya kujipatia kipato zaidi na hata baadae anaweza pia kuwa mchungaji kama Masanja Mkandamizaji.

pia kwa sasa ana family;lazima ajiongeze

kikubwa hakabi...so anahitaji support!

Sent using Jamii Forums mobile app
HAHAHAA
 
Ilitakiwa hapa tuje na maoni ya Mc pili pili afanye nini ili awe bora zaidi ya alivo kipi aongeze ili asonge mbele yaani roho zetu watanzania ni mbaya sijawahi kuona hii tabia ya kukatisha watu tamaa ni mbaya sana inawarudisha nyuma watu wengi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ndivyo walivyo hawa watanganyika!

Mabingwa wa chuki na vijicho!

Toka utotoni mama zao wanawafunza uchawi na roho za korosho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom