Umewahi kuchekeshwa na MC Pilipili?

Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?
Mshikaji yupo tayari kufungwa ndoa ya jinsia moja kisa wazungu nao huwa wanafanya!!!
 
Mimi simuelewi mc pilipil labda anaweza kulia tuu pia idriss nae hamna kitu
 

Aisee hii hatari sana

Nyie kwenu unyenyekevu mnaupima kwa magoti sio matendo?

Nikija leo kwenu nikipiga magoti basi mtanipa shavu kua mimi mnyenyekevu?

Hii ndio sababu hadi bongo movie jambazi anavua viatu nje kuonesha ishara ya unyenyekevu halafu akiingia ndani anafanya uhalifu

Maisha ya bongo 85% watu wanaishi kwa ku fake
 
Kwenye maisha ni vizuri kuheshimu kazi ya mwenzio na sipendi kucomment negative ila MC pilipili nq Idris hata insta niliunfollow wote...sio wachekeshaji hata kidogooo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha...nilidhani niko pekeangu aisee, pia Idrisa, maisha bhana..duh, ngoja nikamcheki kwanza brother K asogeze masaa ya mkesha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi kumbe ni mchekeshaji?
Me najuaga ni MC tu.
 
Mzungu ni nan katik maamuzi yako. So mzungu akifanya una justify. Chuja.

Utasikia watu wanaoa wanyama na ndugu zao kisa mzungu alifanya
Kwa hy wewe uli/uta-visha pete umesimama mana hii inaonyesha unyenyekevu kama vile kupiga magoti nk..hadi wazungu wanafanya hivyo, mtanzania kwann asifanye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia comments nyingi wengi tumeponda hapa ndio utaona watanzania wengi Tunaroho mbaya Roho ya kwa nini na wengi tumemkatisha tamaa MC pili pili tena kwa mfano mimi sijawahi kumsikiliza akichekesha sasa ndugu zangu kwa mtindo huu hatutofika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ilitakiwa hapa tuje na maoni ya Mc pili pili afanye nini ili awe bora zaidi ya alivo kipi aongeze ili asonge mbele yaani roho zetu watanzania ni mbaya sijawahi kuona hii tabia ya kukatisha watu tamaa ni mbaya sana inawarudisha nyuma watu wengi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
manengelo: nadhani umejionea comment zetu wengi wetu ni zaidi ya wachawi kila kitu ni kuponda tu na siajabu hata wengine tunamponda jamaa huku tukiwa na njaa kali wakati tulitakiwa tutoe maoni positive ni nini afanye au aboreshe ili awe bora zaida


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Hii ni aina ya uchangiaji tunaopaswa kujifunza hongera mkuu kwa kua positive


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…