Unyenyekevu unadhihirishwa kwa njia nyingi, hakuna limit. Kupiga magoti ni njia mojawapo ya kuonyesha unyenyekevu wa jambo..mfn kuomba msamaha, ukiamua unapiga magoti au unaacha..kwahy pilipili aliamua kuonesha kwa mpenzi wake na si kosa bali ni tfsir za watu.
Tofautisha tukio na tukio..uvishwaji wa pete ni tukio moja na ndoa kuvunjika ni tukio la pili..hivyo ni vitu viwili tofauti.
Wazungu kufunga ndoa wanafunga, iwe ni ushoga au kawaida ni lazima unyenyekevu uwepo na wao ni kupitia kupiga goti kama pilipili alivyofanya..ni hivyo kweny ushoga, ni yule anayeolewa ndy anapigiwa..dhana ya kuiga ushoga iache, chukua dhana ya sub-actions ndani ya mchakato wa kufunga ndoa
Hii ishu inategemea na tukio, siwezi kuja ofisin kuomba kazi hlf nipige goti.
kupiga goti siyo ishara ya unyonge..
Mfn Kuomba msamaha kwa mpenz wako unaeza piga goti ukiamua.