Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Fisi wa mkoa wa Manyara hawana tatizo na ni nadra kusikia mtu kaliwa. Shinyanga na Simiyu ndo kuna upuuuzi wa fisi kula na kujeruhi watu.
 
dar nimepapenda ila sijaishi sana huko labda nikikaa ntapaona pa hovyo kama watu wanavyosema
 
Dar es Salaam
Arusha
Singida
Tanga
Kigoma
Mbeya
Mwanza
Mara
Dodoma
Morogoro
Iringa
Kilimanjaro
Shinyanga
Tabora
Manyara

Mkoa wa Tanga ndiyo umenivutia zaidi ktk sehemu zote nilizoishi. Tanga na Lushoto ndiyo wilaya zangu pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…