Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Dom,Ms,Ar,Manyara,Mara,Ta,Dar,Pwani,Moro,Geita,Bk,Mwanza,Tabora,Kg,Lindi,Ir,Singida,Mpanda kwenye mapambano ya maisha
 
😅😅😅 noma sana
Ni kweli mkuu. Sema miaka ya hivi karibuni kuna cases za watu hasa watoto kuliwa wilayani Karatu na fisi. Wenyeji wamekuwa wakiitupia lawama idara ya wanyamapori kuwachukua fisi Ngorongoro na kuwahamishia vijiji vya jirani huko Karatu kwa kile kinachotajwa kwamba fisi Ngorongoro wamekuwa wengi sana kiasi kwamba inahatarisha viumbe wengine kupotea. Hawa fisi wanaopelekwa vijijini hukutana na uhaba wa msosi hali inayopelekea kutafuna watu. Hata hao fisi wa Shinyanga wengi wao sio uchawi ni ukosefu wa chakula. Fisi ni mnyama hatari mno akili zikimruka. Kuna fisi alivamia sehemu nikaonyeshwa sufuria aliyoikatakata kwa meno.. imagine akikutana na mtoto atamfanyaje?
 
Back
Top Bottom