Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

Shule nimesoma sgd na dar ila kazi lindi....mikoa niliokaa kaa..ni dom atusha na mwanza,mtwara,songea...kote huko sipotei...still bado naona Singida safi kwenye majabali nakula sunsets na lindi safi nakula upepo wa bahari..sina mambo mengi nakula mifumo (bia) kama kawaida bila mbambamba najua kutafuta hela popote..
 
Dar
Tabora
Shinyanga
Simiyu
Mwanza,
Mara
Kigoma
Tanga.

Mara na kigoma panafanana kiasi fulani kwa hali ya hewa na hali ya upatikanaji wa chakula.

Tabora sikuwahi kupaelewa, uswahili mwingi sana hlf maisha magumu sana kule.
 
Na kweli utavumilia.....
So kuna maeneo yana Vumbi kuliko mbeya? Maybe Songea.
Mie sipendi Vumbi,pahala popote penye Vumbi siwezi Tumia sekunde hata moja isiyo yalazima.
Bora ya songea naona hakuna vumbi,Mbinga kuna vumbi sana,

Mwenyewe sipendi vumbi lkn basi tu.

Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli mkuu. Sema miaka ya hivi karibuni kuna cases za watu hasa watoto kuliwa wilayani Karatu na fisi. Wenyeji wamekuwa wakiitupia lawama idara ya wanyamapori kuwachukua fisi Ngorongoro na kuwahamishia vijiji vya jirani huko Karatu kwa kile kinachotajwa kwamba fisi Ngorongoro wamekuwa wengi sana kiasi kwamba inahatarisha viumbe wengine kupotea. Hawa fisi wanaopelekwa vijijini hukutana na uhaba wa msosi hali inayopelekea kutafuna watu. Hata hao fisi wa Shinyanga wengi wao sio uchawi ni ukosefu wa chakula. Fisi ni mnyama hatari mno akili zikimruka. Kuna fisi alivamia sehemu nikaonyeshwa sufuria aliyoikatakata kwa meno.. imagine akikutana na mtoto atamfanyaje?
Fisi lenyewe ni mnyama hayawani taira.
 
Watu kwa kuzunguka mikoani na vijijini hamjambo, vipi na nje ya nchi mmewahi kwenda au nisiwaingilie maisha yenu..?😄
 
Walahi, sijafika mkoa wa Mtwara na Mkoa wa Zanzibar tu.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji848] Ninaipenda Tanganyika yangu na sijawahi kuchukia mkoa wowote ule. Sasa, kwaavile haujauliza sababu zipi za kupenda au kuchukia, mikoa hiyo basi kwa hiari kabisa, nitaongezea la ziada; nilikutana na wanawake wazuri kila mkoa na mkoa mmoja wapo, ndipo nilipompata Cheusi dawa wangu[emoji847][emoji7][emoji3059]
Zanzibar mkoa [emoji849] Zanzibar Ina mikoa 5 mitatu unguja miwili pemba
 
Back
Top Bottom