1. Kilimanjaro ni home pazuri sana.
2. Arusha ni ujuaji mwingi na unakaa kwa tahadhari muda wote beto ni anytime saa mbili ikukute nyumbani au lodge yenye usalama 😁
3. Manyara pakawaida sana mzunguko wa pesa upo shambani ila amani ipo kiasi. Tatizo kuna mafisi sana, kuliwa na fisi ni anytime ukizubaa usiku hasa nje ya mji 😁
4. Tanga ni pazuri sana kuliko sehemu zote ila tatizo ni mzunguko wa pesa hakuna kabisa.
5.Dar es salaam mitikasi ni mingi.
6.dodoma pakawaida.
7.singida pamezubaa tu
8.morogoro pazuri ila pesa ipo.
9.Iringa pamepoa sana.
10. Kahama pesa ipo ila hali ya hewa chenga.