Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

Umewahi kufukuzia mpenzi ila siku mmepatana ukapoteza mzuka naye nae?

Ila mie nawashangaa sana nyie wanawake...where do u get such kind of men? Kha! Mbona hamjipendi nyie wanawake. Ebu njooni kwa wanaume kama sie wakina mzabzab hela hatuna lakini kendez inanukia kipapli papli mwenye unatamabi kumeza.
Kwani wanaume wanaolalamika wanawake wachafu nao inakuaje? Ndio mana pale juu nimekuambia unaweza kutana na mtu kwa nje anavutia na msafi ila ndani kuna balaa na huwezi jua hadi siku uingie nae ndani.
 
Kwani wanaume wanaolalamika wanawake wachafu nao inakuaje? Ndio mana pale juu nimekuambia unaweza kutana na mtu kwa nje anavutia na msafi ila ndani kuna balaa na huwezi jua hadi siku uingie nae ndani.
Mbona mie sijakutana na bupa inanuka pamoja na miaka yangunya kuzurula kusaka mbushsu. Nyie hamjui kuchagua bwana.
Mie mwanamke chakwanza kukagua ninkwapa
 
Ila nyie shombo ya samaki inakata stimu sio poa picha linaanza wewe ni jobless makutupora alafu siku hiyo umetoa 5000 yako kulomba unakuta rotten rat smell within the mbususu😮‍💨🤣unaweza ukayachukia maisha Yan life ni tafu huna kazi na bado unakula mbususu zinazonuka

Ukirudi gheto joto kali, ukienda kwenye vimgahawa mara umetafuna chuya na mchanga kwenye wali🤣

Ukipanda daladala unabambiwa🤣
Daah,mkuu umeongea kwa uchungu sana,aisee lakini hii ndiyo hali halisi ya mwanaume asiye na hela.
 
Ikuwahi kumfurahia kama nilivyokuwa nafikiri akilini mwangu. Niliangalia namna nzuri ya kumueleza ili asijihisi vibaya but she reacted angrily na kudai nimuache tu kawaida kuliki kutafuta sababu ya kumpiga chini. We ended there. Nilihitaji kumsaidia ili tuenjoy ila hakutaka kukubali. That was the problem
kwenye situation kama hii unahitaji Busara ya hali ya Juu sana kumuelewesha mtu. Hakikisha unatumia maneno ya upole na yenye huruma. Hii itamfanya ajisikie vizuri na kupunguza uwezekano wa kumuumiza. Inahitaji muda na Timing pia kuna mazingira lazima umuweke ayazoee kisha mwambe ila zingatia kwa Upole na Huruma na isiwe kwenye simu
 
Wakuu kwema..

Nimekuja kuamini sometimes expectations zetu ndio hupelekea disappointment. Unaweza kuwekeza muda mwingi, hata budget ili kufukuzia mtoto mkali from the head to the toe ukaweza hata kuwin ila dakika za mwisho ukashindwa kuamini ulichokutana nacho ni kweli au unaota..

Binafsi, kuna binti mmoja nilikutana nae katika kazi mwaka fulani nikiwa mkoa X kwenye project moja hivi ila tukiwa section tofauti. In short ni bidada ambaye ni mzuri sana ana kila sifa ya muonekano kumvutia mwanaume yeyote na kubwa zaidi ana uchumi mzuri. Kiukweli aliweza kutengeneza competition kwa baadhi wa workers ambao walionekana kuwa na interest ya kuwa naye. Naposema ni mzuri, elewa ni mzuri haswa

Miongoni mwao nilikuwemo pia lakini nilijaribu kuwa kwenye kinyang'anyiro kwa siri sana, sikutaka watu wajue. Siku moja nilimfuata tukaongea kidogo kuhusu kazi kisha nikaomba appointment baada ya kazi tukutane tupate kuongea zaidi. Akadai kwa siku hiyo haitowezekana may be uwe siku ingine, nikasema poa.

Baada kama ya siku tatu nikamtokea tena, and this time alinikubalia jioni tukutane. Kweli jioni tulikutana sehemu tukaongea nikamueleza ukweli kuwa nahitaji kuwa nae, nikampa sifa kibao lakini sikupata nilichohitaji kusikia toka kwake. Akaniambia karibia kila mtu anamtongoza hivyo inampa ugumu kufanya maamuzi isitoshe ana mtu wake. Nilikaza sana ila sikufanikiwa lolote. Tukaachana hivyo.

Kazi ikaendelea huku nikiendelea kumsumbua pia. Nilihangaika sana bila mafanikio, wapo waliokata tamaa kwenye mbio hizo ila nilijisemea tu ngoja nikaze nione mwisho wake ni upi. Ilifika time nikajisemea kuanzia leo sitomsumbua sababu nimeshafeli, nikaacha kabisa kumpigia wala kumtext kwa muda kama siku nne hivi.

Siku moja isiyo na jina, ilikuwa weekend mida ya asubuhi nikiwa nimejilaza, kanipigia simu akadai anaomba aje kunitembelea. Sikuamini, mwanzo nikajua labda ni masuala ya kazi tu yanamleta ila sikuwa na uhakika sababu kuna group la Whatsapp na hakukuwa na taarifa, na weekend ni mapumziko.

Kuna chumba cha hotel moja nilichokuwa nikikaa, ikabidi nimwelekeze afike atanikuta nje. Yeye alikuwa hotel tofauti na ile japo si mbali na hapo. Ilikuwa mwendo wa dakika kadhaa tu.

Kweli mtoto akaja, nikamkaribisha huku natabasamu tu pasipo kuwa na uhakika wa kile kilichofanya aje kunitembelea. Tukaongea mawili matatu, nikawa nasubiri aende kwenye point iliyomleta ila nikawa naona anajikanyaga tu, hakuna story ya kueleweka. Kiutu uzima tu nikajiongeza nikagusia suala langu, maana ni muda mrefu sana umepita tangu nilipoanza kumuapproach hadi siku niliyoamua kukata tamaa baada ya kuona nimeshindwa. Hivyo niliomba muafaka wake tu kwa mara ya mwisho ili nipotezee kabisa. Akaanza ooh unajua nilikuwa nakupima, mara sijui nini. Akaniambia sikupaswa kukata tamaa, ningeendelea tu bado ningeshinda. Nikajua huyu kajaa..

Rasmi tukawa free sasa. Akaja kitandani romance zikaanza. Niligundua alikuwa na genye sana maana si kwa fujo zile. Ikafika time za kuchojoa ili show ipigwe, hapo ndio ghasia zilipoanzia. Atmosphere kwa mbaali ikaanza kuchange, ile mbaya ikaanza kutake over ila sikuzingatia saana. Muda wa kupima oil ikazidi. I was really disappointed. I didn't expected a such thing kwa mwanamke kama yule. Sikutaka agundue, ikabidi nipige tu kuua soo. Finally muda ulifika akaondoka.

WEekend iliyofuata pia alikuja, nikawaza ngoja nimwambie tukaoge may be first time ilikuwa ndio sababu Kweli alioga nikaoga pia. Muda wa show hakukuwa na changes zozote. The smell was still there..

SIkuwahi kumfurahia kama nilivyokuwa nafikiri akilini mwangu. Niliangalia namna nzuri ya kumueleza ili asijihisi vibaya but she reacted angrily na kudai nimuache tu kawaida kuliki kutafuta sababu ya kumpiga chini. We ended there. Nilihitaji kumsaidia ili tuenjoy ila hakutaka kukubali. That was the problem

Kwako ilikuwaje?
That smell doesn't kill Bruder, I think you know what I mean
 
Back
Top Bottom