PHD Holder
Member
- Sep 12, 2024
- 68
- 107
Ndiyo nkamu karibu ndiyo kukaja pia?Kumbe ndio nyumbani ndaga nkamu
Aah mkuu hii chai, Dar sijawahi kusikia huu mtaaππKOJOA ULALE_DAR ES SALAAM
MtanilaMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Shukrani sana nkamu ππΎNdiyo nkamu karibu ndiyo kukaja pia?
Hujatembea kabisa mkuu, ushafika DONDWE.Aah mkuu hii chai, Dar sijawahi kusikia huu mtaaππ
Haya maeneo ni ya Dar hii hii? πππHujatembea kabisa mkuu, ushafika DONDWE.
mkuu,
Watakuja wajuvi Kuna sehemu INAITWA
KOJOA ULALE..
zingiziwa"Ingiziwa" kipo Chanika
kuna chanika kidole na chanika mguuzingiziwa
Chipole Chipole hukoo..!!Kuna kijiji kinaitwa Magagula kipo Mlale.
Junction ya Peramiho ukiwa unatokea MbingaNishawai kuishi maeneo fulani hivi panaitwa Sinai
EndasakEndamarariek(Karatu-Arusha), Mulbadaw(Hanang-Manyara)
kingine hiko?zingiziwa