PHD Holder
Member
- Sep 12, 2024
- 68
- 107
Senge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo nkamu karibu ndiyo kukaja pia?Kumbe ndio nyumbani ndaga nkamu
Aah mkuu hii chai, Dar sijawahi kusikia huu mtaa😀😀KOJOA ULALE_DAR ES SALAAM
MtanilaMajina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kijiji hicho kipo Lindi.
Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Shukrani sana nkamu 🙏🏾Ndiyo nkamu karibu ndiyo kukaja pia?
Hujatembea kabisa mkuu, ushafika DONDWE.Aah mkuu hii chai, Dar sijawahi kusikia huu mtaa😀😀
Haya maeneo ni ya Dar hii hii? 😀😀😀Hujatembea kabisa mkuu, ushafika DONDWE.
mkuu,
Watakuja wajuvi Kuna sehemu INAITWA
KOJOA ULALE..
zingiziwa"Ingiziwa" kipo Chanika
kuna chanika kidole na chanika mguuzingiziwa
Chipole Chipole hukoo..!!Kuna kijiji kinaitwa Magagula kipo Mlale.
Junction ya Peramiho ukiwa unatokea MbingaNishawai kuishi maeneo fulani hivi panaitwa Sinai
EndasakEndamarariek(Karatu-Arusha), Mulbadaw(Hanang-Manyara)
kingine hiko?zingiziwa