Umewahi kuishi kijiji gani chenye jina la kipekee?

Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
Kojoa MBANDE/Mpiga miti LINDI
 
Kuna kijiji kinaitwa KIPENYO,MAJIJI,MADABADABA,SOFI(SOFIA),SALA-MITI na MYMBOO(MAIMBOO) vijiji vyote vipo malinyi moro hyo
 
Majina ya vijiji ya kipekee ni pamoja na Kijiji ambacho niliishi Kinaitwa MTAPYAPYA wewe uliishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?

Kijiji hicho kipo Lindi.

Wewe umewahi kuishi Kijiji Gani chenye jina la kipekee?
[/

Mkundugeni kipo Mwasonga kule kigamboni
 
Kuna kijiji kinaitwa Kitwechenkula kiko Kyerwa huko karagwe. Ni noma aiseee 😄
 
Back
Top Bottom