MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Wacha weehraha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo
Weekend Hii Tuje Tu Experience wote Kushinda Bila Nguo
I need Ideas
Sent using Jamii Forums mobile app
haha..sasahivi niko nyumbani, baada ya kumaliza chuo room yangu nimuachia mtu mwingine
[emoji1787][emoji1787] kumbe wengi hatupendi nguo..!!raha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo
Fanya urudi gheto kumenoga..home ovyo..labda Kama bimkubwa si muongeaji Sana.haha..sasahivi niko nyumbani, baada ya kumaliza chuo room yangu nimuachia mtu mwingine
Nikija si utanipikia ndizi eeh?Maisha ya ghetto raha sana. Unajiamulia leo upike nini nini umekichoka uache, ghetto tunashindaga bila nguo wengi wetu.
Ghetto sharti liwe safi muda wote. Nilianza kukaa ghetto first year mpaka Leo nimeshakuwa konki master
Ugali, kachumbari na dagaa, maisha ya geto
Sent from my iPhone using JamiiForums
[emoji91][emoji91]Ugali, kachumbari na dagaa, maisha ya geto
Sent from my iPhone using JamiiForums
oh oh ni wa kiume [emoji23][emoji23]sasa
Fanya urudi gheto kumenoga..home ovyo..labda Kama bimkubwa si muongeaji Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka flani nipo zangu chuo na jamaa yangu msoto unatupiga tunasubiri kumaliza semester (sisi wa afya huwa zinakuwa ndefu kidogo) nakumbuka hapo tumepiga ndefu tumekuja kula kwenye saa kumi jioni hivi imefika mida ya usiku baada ya misuli namstua jamaa tufanye maajabu Mzee mwenzangu analalama ananiambia hivi kwanini tunakula kula kwani binadamu hawezi kula mara moja tu ikatosha. Hapo mfukoni nina 1500
Sent from my iPhone using JamiiForums