Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Umewahi kuishi maisha ya ghetto?

Ugali, kachumbari na dagaa, maisha ya geto

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji91][emoji91]
20200130_004424.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka flani nipo zangu chuo na jamaa yangu msoto unatupiga tunasubiri kumaliza semester (sisi wa afya huwa zinakuwa ndefu kidogo) nakumbuka hapo tumepiga ndefu tumekuja kula kwenye saa kumi jioni hivi imefika mida ya usiku baada ya misuli namstua jamaa tufanye maajabu Mzee mwenzangu analalama ananiambia hivi kwanini tunakula kula kwani binadamu hawezi kula mara moja tu ikatosha. Hapo mfukoni nina 1500

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji16][emoji16][emoji16] Mtu Ambae Ajapitia hizi Heka heka Ajabahatika kbs Ku Enjoy Maisha

Back
Top Bottom