MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Wacha weehraha sana, yaani na usipopika huulizwi, mi mwenyewe kitu kimenishinda mpaka leo ni kushinda na nguo na nilikua mkoa wa baridi ila swala la kuvaa nguo gheto halipo hadi wapangaji wengine walishanizoea hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app