mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,526
- 3,756
Safari ndefu kivipi mkuuAfu huyo ni balozi tu,hii nchi pesa za walipa kodi na wahisani zinatafunwa bila huruma na majitu yasiyokuwa na tija wala faida kwa taifa.800000 x siku 30 ni milioni 24 kwenye chakula tu bado anasa zingine,kumbe huyo balozi angelipwa milioni 2 tu kwa mwezi na pesa ambayo tungeokoa ingetengeneza madawati au kuajiri walimu wengi kwa ajili ya kuwasaidia watoto wa kitanzania.Tuna safari ndefu sana
Sio hotpots tu mkuu, siku hizi kuna mabakuli fulani ya kusevia chakula, bei chee.Sababu ya kufanya itakuwa ni Nini? Maana ya bufee ni just varieties, ukiwa na hotpot 4 tu bufee tayari, au unataka mpaka Yale mabati yanayochomwa?
Sio hotpots tu mkuu, siku hizi kuna mabakuli fulani ya kusevia chakula, bei chee.
Kwa sisi wa kuunga unga ukitandika
Kitable runner chako fresh, ukapanga mabakuli yako 6 yenye bamia la kutosha, tembele, magimbi, ndondo, kaubwabwa kidogo, pembeni unatia chachandu la kutosha.
Ishakuwa bufee π₯π.
Yaa motoooo!Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..
Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Kweli mkuu tatizo jamii zetu ni Masikini sana tumezoea kula mboga moja tu na Asubuhi kitafunio kimoja kama andazi au Chapatu tu, tofauti na Jamii zingine mfano Wazungu, Waarabu na Wachina ukiona wanavyokula Meza imejaa vyakula aina tofauti tofauti.Mchawi pesa, ila msosi unatakiwa uwe full balanced diet mazagazaga matunda, sio daily ugali dagaa ukibadili sana ni wali maharage wa buku "weka wa kushiba" if you know what I mean
Ya motoooo!Kuna watu wanaishi maisha ya kitajiri sana.
Kuna jamaa mmoja masaki alikuwa anashangaa kwa nini watu ni maskini sana yani wanachemsha chai alafu wanapoza ili wanywe.
View attachment 3306238
Mkuu ni gharama inatakiwa ufanye hivyo kwenye milo mitatu kwa siku uweke na juice soda, na Bia kwenye jokofu7
Sio hotpots tu mkuu, siku hizi kuna mabakuli fulani ya kusevia chakula, bei chee.
Kwa sisi wa kuunga unga ukitandika
Kitable runner chako fresh, ukapanga mabakuli yako 6 yenye bamia la kutosha, tembele, magimbi, ndondo, kaubwabwa kidogo, pembeni unatia chachandu la kutosha.
Ishakuwa bufee π₯π.
Hata usitamani kaka hayo ni maradhi kupata hypertension na diabetes mellitus ni kugusa tu. Nakushauri usiende kwa huyo ndugu yako kwa manufaa ya afya yako ya baadae. Bado huko huko ulipo endelea kula ketogenic diet, unywe maji mengi na ufanye mazoezi. Endelea kula ugali na mlenda.Aisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..
Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
Mkuu ni gharama inatakiwa ufanye hivyo kwenye milo mitatu kwa siku uweke na juice soda, na Bia kwenye jokofu
sahihi mkuu babu yangu alifariki kwa kisukari nyumbani kwake mabufee yalikuwepo ukijumulisha na hizi kazi za kukaa kwenye gari umekaa nyumbani umekaa mazoezi 0 inakuwa changamotoKula sana ni dalili ya umasikini wa kiakili.
Ni tabia ya watu ambao wamekulia katika jamii ambayo chakula ni adimu, sasa ndiyo wameanza kupata uwezo wa kupata chakula wanachotaka, wanalimbukia chakula.
Watu wenye generational wealth na elimu wanakula balanced diet kidogo tu, na washajua chakula kingi kinaleta matatizo katika afya.
Hawana wanalojua kabisaa, πππππWakisikia watu wanalalamika maisha magumu wanajisemea... "hivi hawa wanaongea nini?" maisha yapi sasa ambayo ni magumu!?? π
Vyakula vya viwandani siyo vizuri ndiyo Ndiyo maana wenzetu wachina wakija Tanzania wanapenda sana kutumia vyakula vya asili wanapenda kula Kuku wa kienyeji, Sea food, nyama ya mbuzi na wakipika wali hawaweki chumvi na hawatumii maji baridisahihi mkuu babu yangu alifariki kwa kisukari nyumbani kwake mabufee yalikuwepo ukijumulisha na hizi kazi za kukaa kwenye gari umekaa nyumbani umekaa mazoezi 0 inakuwa changamoto
Pole sana mkuu.sahihi mkuu babu yangu alifariki kwa kisukari nyumbani kwake mabufee yalikuwepo ukijumulisha na hizi kazi za kukaa kwenye gari umekaa nyumbani umekaa mazoezi 0 inakuwa changamoto
Kabisa. Hawataki kuji expose sana maana mwandamu ni yule yuleLabda kama nyumba ni Kanisa, watu wenye hela hawaletagi watu Nyumbani hovyo
Halafu hawali sana wanagusagusa tuuAisee watu wanakula maisha sio poa Kuna ndugu angu Fulani balozi wa nchi Fulani na ana biashara ya vituo vya mafuta kwake kila siku chakula yu cost yake ni laki 8 asubuhi watu wanaenda sokoni kununua vitu quality wanavileta jikoni wapishi wapo watano wanapika kuku,maharage, ndizi, viazi,pilau,wali,matunda,samaki,nyama ya mbuzi ya kukaanga, mayai, sausage,n.k..
Ukumbi wa kula uko ghorofani mnajipakulia tu wenyewe sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.
sema ndo hivo huwezi kukaa kwa watu siku zote so tunaendaga kumtembelea tu ndo maisha Yao.