Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Supu inachemshwa fresh afu inawekwa peanut balaa kabisa......

Ukipiga na hiyo k vant nakuambia baba pendoo ukipanda haushuki. Ile minguvu ya kaka zangu kina ngosha ndio inatokeaga huko.
Nani anataka minguvu ya kulima na kuchapa bakora ng'ombe wasio na hatia wala dhambi ya asili?
 
Acha zako. Mbona hujanitafuta wakati namba zangu unazo.

Kuna bwege mmoja hapa anakula mtori kitafunio ndizi za kuchemsha... Sijui zimewekwa nazi?
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona huyo anayekula Mtori kitafunio ndizi cha kuchemsha ni mimi kabisa Babu....

Au umeniona?🤣
 
Bibi yangu alikuwa haweki chumvi wallah bibi shujaa sana yule.

Mzee wangu alikuwa anakata vitunguu anachanganya afu anaweka oda ya ugali... Kiburu na ugali ni zaidi ya ushujaa
Kiburi na ugali hii imekaaje😁😁
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona huyo anayekula Mtori kitafunio ndizi cha kuchemsha ni mimi kabisa Babu....

Au umeniona?🤣
Ila bhana kuna kitu kinaitwa Ngararimo... Uamke asubuhi ugonge na chai. Mchana kutwa kazi yako ni kunywa maji tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…