JEJUTz
Member
- Aug 22, 2024
- 75
- 197
Karanga na dagaa nzuri sanaDagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karanga na dagaa nzuri sanaDagaa nimechanganya bamia, nyanya chungu,nimeweka hoho/carrot/soy sauce/ kitunguu maji na peanut butter.
View attachment 3076461
Supu inachemshwa fresh afu inawekwa peanut balaa kabisa......Nakunywa K Vant hapa. Tafadhali tusipeane majaribu ya kuzuia kutapika mbele za watu...
😅😅😅😅😅Ulimissika sana Babu...Umenichekesha msibani we mtoto. Na hivi nimetoka kununua kabajaji waombolezaji hawachelewi kusema nimemtoa kafara marehemu....
Kiburu kitamu mmo kipikwe kiasili na magadi kidogo kiwekwe jani la ombo kuleta kaharufu😋😋Sawa Babu..!!!
Umewahi kula kiburu cha nazi?😅
Kitamu saaaana...Kiburu kitamu mmo kipikwe kiasili na magadi kidogo kiwekwe jani la ombo kuleta kaharufu😋😋
Acha zako. Mbona hujanitafuta wakati namba zangu unazo.😅😅😅😅😅Ulimissika sana Babu...
Halafu ile ng'ande yake upige asubuhi na chai nzito ya maziwa😋Kitamu saaaana...
Hadi nimekitamani hapa....Ila ndiyo huku mjini ukikipika hakiwi kama kile cha mrenyi😀
Mimi sitokula😒Halafu ile ng'ande yake upige asubuhi na chai nzito ya maziwa😋
Nani anataka minguvu ya kulima na kuchapa bakora ng'ombe wasio na hatia wala dhambi ya asili?Supu inachemshwa fresh afu inawekwa peanut balaa kabisa......
Ukipiga na hiyo k vant nakuambia baba pendoo ukipanda haushuki. Ile minguvu ya kaka zangu kina ngosha ndio inatokeaga huko.
Wewe bado mdogo, hii kitu ukinywa hutotamani vyakula vingine.Mimi sitokula😒
Ukiwa mkubwa utaelewa. Subiri mpaka uitwe shangaziNdio kabisa
Mdogo?🙄Wewe bado mdogo, hii kitu ukinywa hutotamani vyakula vingine.View attachment 3076558
🤣🤣🤣🤣🤣Acha zako. Mbona hujanitafuta wakati namba zangu unazo.
Kuna bwege mmoja hapa anakula mtori kitafunio ndizi za kuchemsha... Sijui zimewekwa nazi?
Ulinisaidia sana kutokunioa🤣🤣🤣mshamba sana we dada ndio maana sikukuoa!😅
Bibi yangu alikuwa haweki chumvi wallah bibi shujaa sana yule.Wewe bado mdogo, hii kitu ukinywa hutotamani vyakula vingine.View attachment 3076558
Hebu niache kwanza kidogo wakwetu...Halafu ile ng'ande yake upige asubuhi na chai nzito ya maziwa😋
Kiburi na ugali hii imekaaje😁😁Bibi yangu alikuwa haweki chumvi wallah bibi shujaa sana yule.
Mzee wangu alikuwa anakata vitunguu anachanganya afu anaweka oda ya ugali... Kiburu na ugali ni zaidi ya ushujaa
Ila bhana kuna kitu kinaitwa Ngararimo... Uamke asubuhi ugonge na chai. Mchana kutwa kazi yako ni kunywa maji tu...🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona huyo anayekula Mtori kitafunio ndizi cha kuchemsha ni mimi kabisa Babu....
Au umeniona?🤣
Umeona hiyo mboriko 😁Hebu niache kwanza kidogo wakwetu...
Mate yamejaa mdomoni😅