Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Sipendelei dagaa na vichwa
Hapo sawa Ila mimi cha msingi chakula kiwe na ladha ile ya asili. Maana wengine huwa mnasafisha dagaa hadi kwa maji ya vuguvugu kiasi wanakuwa weupeee maana virutubisho vyote mnavimwaga 😁😁
 
Daaah huwa nikila nahisi mwili unasisimkaa inavopita kwenye koo kuelekea tumboniii πŸ˜ŠπŸ™ŒπŸ˜¬πŸ˜¬
Nilikuwa sipendi nyanya chungu Ila niliishi kwenye hiyo nyumba hadi maharage wanaweka nyanya chungu. Niliteseka mwanzoni kwa kuvibagua Ila baadae nikaanza kuishi namo hadi muda huu nomezizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…