Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Hapo sawa Ila mimi cha msingi chakula kiwe na ladha ile ya asili. Maana wengine huwa mnasafisha dagaa hadi kwa maji ya vuguvugu kiasi wanakuwa weupeee maana virutubisho vyote mnavimwaga 😁😁Sipendelei dagaa na vichwa