Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

😂😂😂 me wa hapo daslam tu, sipen michuzi ya maji maji yan mchuzi mwaaa nyama chini hapana na niko hivo nikiingia jikoni kama naenda sehem ina familia always mchuzi hautoshi kwenye tembea tembea nikakuta mtu anapika makande ya karanga nilistaajabu sjawah kuona
Mama mwana upo dar sehemu gani
 
Kha! Wale huwa siwawezi
Napenda vitu niandae mwenyewe
Watram sana unawaweka tu maji ya limao unamwaga tu unaweka jikoni basi inaongeza ladha na mabamia nanyanya nyingi kidogo , na karoti na vitunguu , hoho nzuri na kamboga kamajani pembeni na kaugali na mayai yakuchemsha na juice ya togwa ya baridi ukipata
 
Juis ya togwa Tena Umenikumbusha mbali 😀😀
 
Back
Top Bottom