Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

Mama mwana upo dar sehemu gani
 
Kha! Wale huwa siwawezi
Napenda vitu niandae mwenyewe
Watram sana unawaweka tu maji ya limao unamwaga tu unaweka jikoni basi inaongeza ladha na mabamia nanyanya nyingi kidogo , na karoti na vitunguu , hoho nzuri na kamboga kamajani pembeni na kaugali na mayai yakuchemsha na juice ya togwa ya baridi ukipata
 

Ugali dagaa bamia togwa na mayai ya kuchemsha..!πŸ€”
 
Juis ya togwa Tena Umenikumbusha mbali πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…