We lazima utakuwa kimbaumbau sana mtani, hupendi vitu vya kuupa mwili nyama🤣🤣Duh hakuna wa kwetu ukitia na hizo karanga ndio nachafukwa zaidi , mimi napenda dagaa kavu tu kachumbari na ugali wangu pembeni 😁
Ukikaa usukumani karanga Bado kidogo zitiwe kwenye chai😀😀kma sisi wa pwani Bado kidogo Nazi tuweke kwenye matembele 😀😀anhaa! taste yake ikoje? nikija kwako peanut butter niweke kwenye mkate tu mamy au upike nisijue nile nimalize uniambie nimekula ubwabwa wenye peanut butter sawa eh
Afu maharage yameungwa kwa nazi mamamae...Au utoke kula bia nyingi , ukale wali maharage 😁😁😁
Mwanamke wa Mithali apewe maua yake😂😂😂
Ni wazuri na watamu hasa wanakuwa sema binafs napenda wawe wakavu wakavu
Mpishi kongolee yupo vizuri sana
Kuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka , tunashindia parachichi kutwa , mpka ratiba nyingine tena kwa sababu ratiba ya siku ya chakula gani alikua kabandika ukutani mwa jiko , siku ya choroko haoni mtu😁 MakiwendoNapenda supu yake nitie na ndizi za wachaga plus matunda☺️
mimi nishawahi kula tembele la nazi mwaya sasa dada angu hua ananambia sjui kisamvu cha nazi kitam namwambia nipishe siku moja tulipita singida tukaingia kwenye mgahawa tunywe chai ile chapati ukipigwa nayo usoni lazima ubabuke ukiisimamisha inasimama dede nikaswma kweli tembea ujionee na kuna sehem milimani huko sambaani nilikuta mchunga umepikwa wamafuta sasa hii nayo ya leo kwangu ni fresh kabisaUkikaa usukumani karanga Bado kidogo zitiwe kwenye chai😀😀kma sisi wa pwani Bado kidogo Nazi tuweke kwenye matembele 😀😀
Aweke matango kwa wingi ili wanawake wapende mapishi, wale kwa wingi wanenepe matumbo kwa miezi 9.Ila usizidishe bamia, wanawake hawapendi.
Kabisa yupo vizuri,Mwanamke wa Mithali apewe maua yake
Mimi napenda maparachichiKuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka , tunashindia parachichi kutwa , mpka ratiba nyingine tena kwa sababu ratiba ya siku ya chakula gani alikua kabandika ukutani mwa jiko , siku ya choroko haoni mtu😁 Makiwendo
Hongera Chakula kizuri 😍Yes nzuri sana
😁Afu maharage yameungwa kwa nazi mamamae...
Siku hiz bamia kindoo Cha lita 3 ni buku 🤣Aweke matango kwa wingi ili wanawake wapende mapishi, wale kwa wingi wanenepe matumbo kwa miezi 9.
Tatizo siku hizi wanawake hawapendi bamia ndio maana zinashuka bei.Siku hiz bamia kindoo Cha lita 3 ni buku 🤣
Hapana nakufananisha na mtuunataka uniteke
Nipo kawaida tu mtani , kwenye vyakula huwa napenda zaidi vikavu au vya kuchemsha na mboga za majani, ila nikishaona mafuta tu hamu ya kula inakata.We lazima utakuwa kimbaumbau sana mtani, hupendi vitu vya kuupa mwili nyama🤣🤣
Chapat ni janga la taifa kwakweli 😀😀nishakula chapat hata kutafuna ni Kwa shida 😃mimi nishawahi kula tembele la nazi mwaya sasa dada angu hua ananambia sjui kisamvu cha nazi kitam namwambia nipishe siku moja tulipita singida tukaingia kwenye mgahawa tunywe chai ile chapati ukipigwa nayo usoni lazima ubabuke ukiisimamisha inasimama dede nikaswma kweli tembea ujionee na kuna sehem milimani huko sambaani nilikuta mchunga umepikwa wamafuta sasa hii nayo ya leo kwangu ni fresh kabisa
Tamu sana nalinafanya chakula kishukeMimi napenda maparachichi
Bila kusahau linaongeza mwili☺️Tamu sana nalinafanya chakula kishuke