Umewahi kujaribu kupika dagaa kwa mtindo huu?

anhaa! taste yake ikoje? nikija kwako peanut butter niweke kwenye mkate tu mamy au upike nisijue nile nimalize uniambie nimekula ubwabwa wenye peanut butter sawa eh
Ukikaa usukumani karanga Bado kidogo zitiwe kwenye chai😀😀kma sisi wa pwani Bado kidogo Nazi tuweke kwenye matembele 😀😀
 
Napenda supu yake nitie na ndizi za wachaga plus matunda☺️
Kuna dagaa ndizi tena mama alikua akipika hii kitu kila mtu anatoweka , tunashindia parachichi kutwa , mpka ratiba nyingine tena kwa sababu ratiba ya siku ya chakula gani alikua kabandika ukutani mwa jiko , siku ya choroko haoni mtu😁 Makiwendo
 
Ukikaa usukumani karanga Bado kidogo zitiwe kwenye chai😀😀kma sisi wa pwani Bado kidogo Nazi tuweke kwenye matembele 😀😀
mimi nishawahi kula tembele la nazi mwaya sasa dada angu hua ananambia sjui kisamvu cha nazi kitam namwambia nipishe siku moja tulipita singida tukaingia kwenye mgahawa tunywe chai ile chapati ukipigwa nayo usoni lazima ubabuke ukiisimamisha inasimama dede nikaswma kweli tembea ujionee na kuna sehem milimani huko sambaani nilikuta mchunga umepikwa wamafuta sasa hii nayo ya leo kwangu ni fresh kabisa
 
Chapat ni janga la taifa kwakweli 😀😀nishakula chapat hata kutafuna ni Kwa shida 😃
Kisamvu Cha Nazi ni kweli kitamu sana hasa kikilala sijui Ile ladha inatokeaga wapi
 
Back
Top Bottom