Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Wazungu husema...achekaye wa mwisho hucheka sana.
Inaumiza sana


Msimamo wako ni wa kiume nimeupenda.
msimamo kwenye haya maisha ni muhimu ukitetereka tu kuna mambo utaharibu.
Ni ajabu Sana wanavyoacha kikatili lakini wanategemea kupokelewa kirahisi Kwa vitishio vya sijui ntajiua
mimi ukishanitisha tu kujidhuru ndio ushanikosa, siwezi kuwa na mtu mwenye pepo la kukata tamaa kiasi hicho. Pia ni mwiko kumpenda mtu kwa kumuonea huruma.
shukrani mkuu lugha yenyewe imekuja na meli tunakomaa nayo hivyo hivyo.
Pole sana mkuu,ila saivi ushapata wa kutulia naye,ish hapo hapo
ansante mkuu maisha yanaendelea vyema kabisa.
 
Ukimuacha mtu kwa nyodo USIRUDI.

Zamu yake kulia.
na kwanini humfanyie mtu hayo yote na hajakukosea?
mtu akishakudharau we mpuuzie tu akili itamkaa sawa.
Manamake ni mengi mno, kwa sensa iliyopita uwiano ni 1:12, haikukupasa kunung'unika.
sijakuelewa mkuu.
 
Wanamuogopa mpwayungu
🤣🤣
Ningekuwa mimi ningempokea tu,ila ningempiga matukio mpaka asingenisahau kama nilivyomfanyaga Jane! Sijui yuko wapi Jane? Manake alifuta acc zake za mitandao yake yooote😔
sisi wengine tukiwapiga matukio tuwapendao ndio inazidisha maumivu kwahiyo bora umuache mtu kiroho safi aumie mwenyewe kwa sababu hukumtenda ubaya hadi akutende vibaya.
Ulimfanyia nini hadi ikawa hivyo?
Duuh! Pole sana Mkuu.
ahsante mkuu ndio changamoto za maisha ya mahusiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…