Umewahi kukataliwa hadharani kinyume na ulivyotarajia?

Au nenda kajitambulisha Mpk kwao...
Mwambie awashauri wazazi wake nyumba yao uifanyie marekebisho itolewe paa au kubomolewa upande mmoja...
Ujenzi uanze mara Moja afu wewe potea ikiwa ujenzi haujaisha.
si kutafutwa kulogwa na ukoo tena watanga 😂
 
hasa na yule uliempenda sana inaumiza
Daaah sema tupo tofauti..
Mii naanza kuumia kwa yule ambaye nimeshakuwa nae kwa mahisiano.

Ila kama sipo nae kwenye mahusiano ndo nipo katika harakati za kumtongoza hata akikataa sawa tu maana nakua sijapenda.

Napenda baada ya kukubaliwa
🤓🤓🤓🙌🙌🙌🙌
 
ndio huwa hivyo kwa wengi, huwezi kuumia kwa mtu ambae sio mpenzi wako.
 
Khaa [emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…