Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hukuuliza kwanini ilikuwa hivi Mkuu?Mimi kuna kipindi nilienda kwenye kituo kimoja cha Afya hapo Dar,
Sikuwa nafahamiana na mtu kabisa, sikuhiyo nilikuwa very smart! wamenitangulia watu kadhaa akaja nesi pale akaniuliza na wewe unatibiwa?
Nilivyomwambia ndio akaenda kwa daktari alivyotoka akaniambia niingie , bila kujali kuna waliokuwa wamenitangulia.
Sikujua kwa nini
Pole sana mkuu! Lakini nimejiuliza, kama ni zahanati ya kata maana yake na wewe ni mkazi wa hapo hivyo mnafahamiana, je, hukuwahi kuingia naye mgogoro kabla?? Pole sanaMimi nilienda kuchoma sindano cha ajabu nurse aliyenichoma sindano sijui aliweka sumu kwenye sindano maana baada ya pale nilipofika home nikaanza kuhisi kuishiwa nguvu mara nahisi kutapika yaani nikawa naona kabisa kuzimu inaniita. Aisee nilikimbia fasta kununua maziwa nikanywa ndipo nikaanza kujihisi ahueni mpaka hari kutengamaa, aisee yule Nurse sijui aliniwekea nini kwenye sindano alidhamiria kuniuwa kabisa
Note: ilikua zahanati ya kata yaani ya serikali.