Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usafwa ipi hio wanayokula mende?Mimi nilishangaa kuona watu wanakula mende uko usafwani
Mie niliona Lushoto wanakula majani ambayo huwa tunalisha sungura (wao wanaitwa mbwembwe ama kavovo)Mchunga unaliwa maeneo mengi tu vijijini huko. Kuna majani fulani yanaitwa mwidu niliona watu wa kijiji cha msolwa morogoro wanaomba kuingia hifadhini seluu ili kuyachuma kwa ajili ya mboga wakati kijijini kwetu ni chakula cha mbuzi na ngombe
Tukuyu ukoUsafwa ipi hio wanayokula mende?
Marando Numbisa hii Rwamishenye kwa wasomi those days .Matembele enzi hizo sikuyafahamu wala sikujua kuyatofautisha na marando nilipokuta yamepikwa sehemu nikashangaa kuwa wanakula marando(majani ya ambayo mizizi yake inatoa viazi vitamu)
wewe wakishuaWatu wana kula utumbo wa kuku na vichwa vya kuku, punda na panya kweli kweli, ni likua nasikia tu ila nilishuhudia mwenyewe......
Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa.
Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa.
Pia mara ya kwanza kuja Pwani na kukuta watu wanakula mchunga kama mboga napo nilishangaa sana kwa kuwa kwetu ni majani ya kulisha sungura si chakula cha binadamu.
Vivyo ivyo kuna watu wanakuja kwetu wanashangaa kukuta tunakula baadhi ya vitu kama askari wa mchwa na tunafurahia utamu wake kabisa nk.
Umewahi kuona chakula gani kwenye jamii ya ugegenini ukashangaa kujua kuwa ni chakula?
View attachment 2568383
Askari wa mchwa
mkuu hiyo mizizi inaitwa ming'oko, mdogo wangu wakike alileta nyumbani ikiwa mibichi wakichemsha nikaonjaa, dooh! ile mivitu haina ladha kabisa.Wamakonde wanakula Chavichavi na wale konokono wa baharini ,pia ming'ong'o(ipo kama mizizi naionaga sana mbagala wanauza kwenye sahani kina mama) huwa wanaokula hivyo vitu siwaelewi.