Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

Hii kituila baada yakuionja sikurudi nyuma
images.jpeg
 
Niliwahi kwenda Tabora Ziba papo Igunga ila ni jirani na Nzega nilishangaa wana chakula flani hivi viazi vigumu vimekauka wenyewe wanavitafuna nilishangaa sana sijawahi ona aisee ila nilishangaa

Pia kipindi niko Ngaramtoni Arusha nishawahi ona Mmasai anakula nyama flani hivi ya kwenye nundu bila kupikwa nilishangaa sana

Kipindi nakua nishawahi enda Mbinga vijijini huko somewhere LIpilipili jirani na Mpepai Ruvuma kuna sehemu wanakula Nyani anakaangwa fresh tu anapigwa kama mbuzi tu afu unyama

Mtwara huko Nachingwea wanachoma panya wa porini na anapigwa joto kali safi kabisa ana

Dar maeneo ya mbagala nilishangaa kuona miguu ya kuku mautumbo na kichwa yanauzwa na wateja kama wote (sikua najua)

TEMBEA UONE
 
Aliegundua kuwa kabichi(sukumawiki) ni Mboga ,alitukosea sana.
 
Nilikulia Uganda na kusoma huko so nilivyomaliza Primary school nilikujaTanzania nyumbani. Sasa nikiwa dining nasubiri msosi cuz kulikuepo na hotpot moja na si kawaida,

Mara nashanga bro anapakua na kula.Then nikamuuliza mbona unakula tu mboga akasema this food is called makande. Niligoma kula, chakula gani kina mahindi na maharage.Ilibidi nipikiwe kingine.

Sijawahi kuelewa hicho chakula.
 
Back
Top Bottom