RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,337
- 138,962
Ukiona anakataa ujue hana uhakika na bidhaa yake.atakubambika. Achana nae.Ni wafanyabiashara wachache wanaokubali huo mfumo
Ukiona anakataa ujue hana uhakika na bidhaa yake.atakubambika. Achana nae.Ni wafanyabiashara wachache wanaokubali huo mfumo
Kuna wale huwa wanasema lipia nauli hela ya bidhaa utalipia ukipokeaUkiona anakataa ujue hana uhakika na bidhaa yake.atakubambika. Achana nae.
Na ukiona mfanyabiashara wa dar hatak ulipie mzigo ukifika ujue kuna shida 😃Ni wafanyabiashara wachache wanaokubali huo mfumo
Mwambie nitalipia vyote mzigo ukifika. Kama ana uhakika na bidhaa yake hawezi kukataa, ukiona masharti mengi shtuka.Kuna wale huwa wanasema lipia nauli hela ya bidhaa utalipia ukipokea
Kumbe 😁 kuna wengine huwa wanakubali huo mfumo kwa Dar tu mikoani hawatakiNa ukiona mfanyabiashara wa dar hatak ulipie mzigo ukifika ujue kuna shida 😃
Asante mmenifundisha kituMwambie nitalipia vyote mzigo ukifika. Kama ana uhakika na bidhaa yake hawezi kukataa, ukiona masharti mengi shtuka.
Mkoani ngumu maana na yeye hana security ya mzigo wake. Wateja wapigaji nao wengi sana.Kumbe 😁 kuna wengine huwa wanakubali huo mfumo kwa Dar tu mikoani hawataki
kwa mkoani mkuu hata mimi nasapoti, imagine nikutumie bidhaa sikujui na sina assurance yeyote,ukiingia mitini na pesa nitaanzia wapi?Kumbe 😁 kuna wengine huwa wanakubali huo mfumo kwa Dar tu mikoani hawataki
mimi nilliona tanzania kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya royo tuwa, siku nimepata viza ya kuja kuitembelea tanzania nilichokiona kilinichanganya sana.kama hivi au😄View attachment 3603482
Hv ni sahihi kwa binadamu wa kawaida kuishi Sinza ?Kumbe 😁 kuna wengine huwa wanakubali huo mfumo kwa Dar tu mikoani hawataki
Kulipia Usafiri ni jukumu la mtega, kama mteja hataki kulipia Usafiri ni bora aende dukani akahakikishe mwenyewe.Mwambie nitalipia vyote mzigo ukifika. Kama ana uhakika na bidhaa yake hawezi kukataa, ukiona masharti mengi shtuka.
Si unakubaliana na msafirishaji nilipie ndio nichukue mzigokwa mkoani mkuu hata mimi nasapoti, imagine nikutumie bidhaa sikujui na sina assurance yeyote,ukiingia mitini na pesa nitaanzia wapi?
Basi wa mkoani ngoja tukufe tu na hali zetu 😁 mambo ya kuagiza unaletewa kituko hapanaMkoani ngumu maana na yeye hana security ya mzigo wake. Wateja wapigaji nao wengi sana.
Huyo msafirishaji me mwenyewe simjui hiyo mizigo ya kutuma tu wanapotexa ndo ukampe jukumu la mtu kati unadhani atakubali?Si unakubaliana na msafirishaji nilipie ndio nichukue mzigo
Hatari sanaHuyo msafirishaji me mwenyewe simjui hiyo mizigo ya kutuma tu wanapotexa ndo ukampe jukumu la mtu kati unadhani atakubali?
Mbona mnaniogopesha, nipo kwenye mchakato wa kuagiza kifaa hiki, sijawahi kuagiza mzigo wowote nje nisije ingia cha kike.! View attachment 3603490
Lipia on delivery hata Pizza wanafanya hivyo haulipii mpaka uione na uipende kinyume chake unamrudisha Pizza boyLipia on delivery kama ni hapa hapa Tz. Usiporidhika na bidhaa hulipi.
eh uliona nini jirani? hebu tupe na ushahidi wa picha basimimi nilliona tanzania kwa mara ya kwanza kwenye filamu ya royo tuwa, siku nimepata viza ya kuja kuitembelea tanzania nilichokiona kilinichanganya sana.