kwanza siku hiyo nashuka na mwewe pale JKIA nashangaa kuona eneo la uwanja karibia lote limezungukwa na nyumba za mbavu za mbwa. Mabati yamechakaa hadi hurumaeh uliona nini jirani? hebu tupe na ushahidi wa picha basi
kwanza siku hiyo nashuka na mwewe pale JKIA nashangaa kuona eneo la uwanja karibia lote limezungukwa na nyumba za mbavu za mbwa. Mabati yamechakaa hadi hurumaeh uliona nini jirani? hebu tupe na ushahidi wa picha basi
Unless unaagiza kwa watu walioonyoka kama mimi 😀😀Basi wa mkoani ngoja tukufe tu na hali zetu 😁 mambo ya kuagiza unaletewa kituko hapana
😁😁 Kila mfanyabiashara atakuambia amenyooka. Kwani na wewe unauza?Unless unaagiza kwa watu walioonyoka kama mimi 😀😀
weeee eh😄😄😄 ukaanza kulaanikwanza siku hiyo nashuka na mwewe pale JKIA nashangaa kuona eneo la uwanja karibia lote limezungukwa na nyumba za mbavu za mbwa. Mabati yamechakaa hadi huruma
sanaaaaaweeee eh😄😄😄 ukaanza kulaani
😄😄😄 baadae ikawajesanaaaaa
ilibidi nipunguze siku za kukaa Tanzania kutoka wiki moja hadi siku mbili, nikarudi zangu kwetu Malinyi😄😄😄 baadae ikawaje
pole sana mkuu,, kwahiyo hauku enjoy hata kidogo?ilibidi nipunguze siku za kukaa Tanzania kutoka wiki moja hadi siku mbili, nikarudi zangu kwetu Malinyi
wewe unaweza ku enjoy mji ambao kuna makellele ya hovyo kila konapole sana mkuu,, kwahiyo hauku enjoy hata kidogo?
mbona kuna maeneo mazuri tu jamni au wew ulipelekwa wapi?wewe unaweza ku enjoy mji ambao kuna makellele ya hovyo kila kona
takataka zinatupwa hovyo
harufu mbaya.
mifereji imeziba
madereva hasa hawa wanaotumia vipikipiki hawzingatii sheria za barabarani
kuna sehemu inaitwa Vingutinguti sijui Vingungutimbona kuna maeneo mazuri tu jamni au wew ulipelekwa wapi?
Hivi unajua kama una kesi?Hizi picha za 'what I ordered vs what I got' huwa zinanichekesha sana. Ngoja nichukue kiti
Niliagiza pimamaji ya laser, sprinkler na jet cleaner niliishia kuviweka store. Sijui TBS wanaruhusuje vitu fake kuingia nchini vinawafia wananchiMimi niliwahi kuagiza nguo Kariakoo ilikuwa suti niliiona mtandaoni. Itoshe kusema nilichokiona nikakiagiza na nilicholetewa ni vitu viwili tofauti. Ile nguo ikabidi niigawe hata sikuivaa na ilikuwa ni ya tukio. Mpaka leo siwezi kuagiza nguo mtandaoni mpaka nikajihakikishie mwenyewe.
Majibu ya swali hili yaambatane na picha kabisa
Wapi tena huko? Kama ni kesi na wewe wala sina hofuHivi unajua kama una kesi?
Hapana.😁😁 Kila mfanyabiashara atakuambia amenyooka. Kwani na wewe unauza?