Barakoa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2020
- 741
- 1,352
Habari zenu wana JF wenzangu.
Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli.
Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana.
Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na Message Fb, basi nikaijibu na conversation ikaendelea. Alionekana ni mtu mwema hatimaye tukabadilishana mawasiliano na kuhamia Whatsapp.
Katika kufahamiana zaidi alidai yuko kwa Bwana Biden na hata Code yake ilikuwa kweli ni ya kule. Alidai ni medical student in one of the Universities there. Mostly tulikuwa tukichat mambo ya kawaida sana juu ya maisha.
Kuna siku akaniuliza " How is Business in Tanzania ? " nikamjibu kuwa hali ya kibiashara ni nzuri mno nchini mwangu. Basi akanijuza kuwa his uncle is interested in Investing kwa nchi yetu. Nikamwambia his uncle is warmly welcome.
Nikamuuliza pia, huyo uncle ana interest kwenye mambo gani, basi akanijuliza in Eletronics Industry. Pia akasema such business in South Africa. Akarecommend anipe mawasiliano ya uncle wake ili kama ana chochote anataka kujua kuhusu hiyo biashara anayotaka basi aniulize mimi direct.
Baada ya kuwasailiana na huyo uncle wake. Alidai kuwa mpwa wake kamueleza kuhusu mimi amekuwa interested kuinvest Tanzania hivyo anaomba tufanye partneship. Nikamwambia haina shida ni yeye tu. Akaniambia ngoja afanye arrangements za kuship mzigo kuja Bongo. Baada ya kama wiki mbili akaja nicheck jumatatu ya wiki hii na kuniambia nimpe details ili atume mzigo. Hiyo j3 akanitumia na picha moja ya box huku akidai kuna maboksi manne jumla. Na kudai in one of the boxes kaweka sama cash kwa ajili ya clearance na kufanya arrangements kwa ajili ya mauzo ya hizo bidhaa. Mzigo aliniambia utafika j5. Hapo ndipo nikaanza pata mashaka makubwa.
Jumatano juzi mapema kabisa nikaona namba yenye code +254 imenicheck whatsapp kuwa my parcels are in Nairobi hivyo natakiwa kulipa 200 USD kwa ajili ya clearance ili mzigo ufike Bongo.
Ikabidi nimcheck jamaa kumwambia anitumie tracking number, akaniambia kawasiliana na Courier kamwambia mzigo huko Nairobi hivyo napaswa kuclear ili uje Bongo na kudai kuwa ndani ya lile boksi moja alilosema kuna 5000 USD hivyo nilipe tu.
Kumhoji huyo jamaa wa Kenya details za hizo parcels naona anapiga chenga. Kumuuliza method of payment ananiambia ni through Mobile Payment. Kumuomba picha za hizo parcels naona kantumia picha ile ile aliyontumia jamaa wa mwanzo ambaye alidai yuko US. Nikaishia tu kuwaaambia sitapeliwi kirahisi hivyo.
Je, katika harakati zako za maisha ushawahi kutana na utapeli gani?