Umewahi kukutana na utapeli wa aina gani?

Barakoa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2020
Posts
741
Reaction score
1,352
Habari zenu wana JF wenzangu.

Mara nyingi katika maisha yetu tumekuwa tukikutana na mambo kadha wa kadha, ikiwamo fursa, ajira, changamoto, connections na hata Utapeli.

Katika maisha yetu haya yaliyojaa harakati, utapeli umekuwa ni mkubwa sana.

Takribani miezi miwili iyopita nilikutana na Message Fb, basi nikaijibu na conversation ikaendelea. Alionekana ni mtu mwema hatimaye tukabadilishana mawasiliano na kuhamia Whatsapp.

Katika kufahamiana zaidi alidai yuko kwa Bwana Biden na hata Code yake ilikuwa kweli ni ya kule. Alidai ni medical student in one of the Universities there. Mostly tulikuwa tukichat mambo ya kawaida sana juu ya maisha.

Kuna siku akaniuliza " How is Business in Tanzania ? " nikamjibu kuwa hali ya kibiashara ni nzuri mno nchini mwangu. Basi akanijuza kuwa his uncle is interested in Investing kwa nchi yetu. Nikamwambia his uncle is warmly welcome.

Nikamuuliza pia, huyo uncle ana interest kwenye mambo gani, basi akanijuliza in Eletronics Industry. Pia akasema such business in South Africa. Akarecommend anipe mawasiliano ya uncle wake ili kama ana chochote anataka kujua kuhusu hiyo biashara anayotaka basi aniulize mimi direct.

Baada ya kuwasailiana na huyo uncle wake. Alidai kuwa mpwa wake kamueleza kuhusu mimi amekuwa interested kuinvest Tanzania hivyo anaomba tufanye partneship. Nikamwambia haina shida ni yeye tu. Akaniambia ngoja afanye arrangements za kuship mzigo kuja Bongo. Baada ya kama wiki mbili akaja nicheck jumatatu ya wiki hii na kuniambia nimpe details ili atume mzigo. Hiyo j3 akanitumia na picha moja ya box huku akidai kuna maboksi manne jumla. Na kudai in one of the boxes kaweka sama cash kwa ajili ya clearance na kufanya arrangements kwa ajili ya mauzo ya hizo bidhaa. Mzigo aliniambia utafika j5. Hapo ndipo nikaanza pata mashaka makubwa.

Jumatano juzi mapema kabisa nikaona namba yenye code +254 imenicheck whatsapp kuwa my parcels are in Nairobi hivyo natakiwa kulipa 200 USD kwa ajili ya clearance ili mzigo ufike Bongo.

Ikabidi nimcheck jamaa kumwambia anitumie tracking number, akaniambia kawasiliana na Courier kamwambia mzigo huko Nairobi hivyo napaswa kuclear ili uje Bongo na kudai kuwa ndani ya lile boksi moja alilosema kuna 5000 USD hivyo nilipe tu.

Kumhoji huyo jamaa wa Kenya details za hizo parcels naona anapiga chenga. Kumuuliza method of payment ananiambia ni through Mobile Payment. Kumuomba picha za hizo parcels naona kantumia picha ile ile aliyontumia jamaa wa mwanzo ambaye alidai yuko US. Nikaishia tu kuwaaambia sitapeliwi kirahisi hivyo.

Je, katika harakati zako za maisha ushawahi kutana na utapeli gani?
1647586333639-01.jpeg

IMG_20220318_095102-01.jpeg
 
View attachment 2154968

View attachment 2154969
IMG_20220318_183837.jpg
 
Inawezekana haukuwa utapeli Ila ni namna Fulani ya kutoelewana kulitokea,.Umewahi kuhukumu mapema,ungesubiri mchezo ufike mwisho maana Tyr ulishastuka mapema,wasingekutapeli b'coz tayari ulishakuwa na tahadhali
Yani ni utapeli kabisa same old tricks.
Ebu fikiri mtu akutumie mzigo una $5000 yan milion kama 11, ashindwe kulipa 460000 kuuclear.
Yani uzuri matapeli wa mtandao wanatumia mbinu ile ile.
 
Kuna haya magroup mapya yamezuka huko WhatsApp;

"AGIZA NASI CHINA MOJA KWA MOJA TUKULETEE HADI NYUMBANI"

TV nchi 55 bei 600k.Unaambiwa kuagiza Hadi inakufikia ni siku 45.Ukiangalia hiyo bei iliyowekwa unaingia king unajaa kisha wanakuvua

Sheria zao wanazoweka..
Admin ndy anapost na hakuna sehemu yoyote ya mtu kuchangia au Kusema chochote..ukipigwa unalia kimya kimya na huwezi kuwasanua wengine ili wasipigwe Kama wewe,Mtu anapigwa kisha analia then analeft group kimya kimya[emoji3][emoji3]

Watu wakipungua kwenye group admin anaweka link Tu huko mitandaoni ili waongezeke aendelee kuwavua km samaki.
Huko matapeli ndy wamekimbilia

Sisemi magroup yote ya Aina hii ni ya kitapeli,ilaumakini unahitajika sn
 
Binafsi kuna mtu kanipiga milioni kama 6 hivi na ushee takribani miezi miwili nyuma.

Kuna dogo wake aliweka tangazo la kuuza kiwanja sehemu fulani hivi Dsm. Baada ya kuwasiliana nae akanipatia namba ya huyo muhusika.

Tulipokutana akamuita mwenyekiti na mjumbe tukaafikiana na kufanya biashara.

Nikamtuma yule dogo wake aweke zile Bicon kubwa za kuonesha mipaka na gharama zote nilimlipa lakini kwa siku ile hakufanya na aliomba udhuru wa kwa nini hakufanya, nilimuelewa lakini kadri siku zilivyozidi ndivyo usumbufu ukaongezeka.

Nikaachana nae, nikaita fundi nikashusha material yote ya ujenzi baada ya kukamilisha msingi tu napigiwa simu kuwa kwa nini unajenga kwenye kiwanja changu...............

Baada ya kuwasiliana nae muuzaji wangu akanipa matumaini kuwa anakuja na aliyemuuzia yeye na full documents. Alikuwa anapokea simu na kuonesha ushirikiano nami lakini mpaka sasa hathubutu hata kupokea simu.

Nilienda ardhi na nikajiridhisha kuwa aliyeniuzia si muhusika. Yaani kichwa kinauma mpaka dakika hii.

Imenibidi nitumie laki5 nyingine kuhamisha tofali na mazaga mengine huku nikivunja ule msingi kwa gharama ya laki3..

Sijui hata hatua za kumchukulia huyu kiumbe. Halafu wala sio mwanaume.
 
Dah ! Pole sana. I hope utapata msaada.
 
Akili uliyoipata kwenda ardh kujiridhisha ungefanya Kabla ya mauziano

Pole Sana mkuu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana haukuwa utapeli Ila ni namna Fulani ya kutoelewana kulitokea,.Umewahi kuhukumu mapema,ungesubiri mchezo ufike mwisho maana Tyr ulishastuka mapema,wasingekutapeli b'coz tayari ulishakuwa na tahadhali
Sasa hitimisho si ilikuwa kutuma $200?
 
Binafsi kuna mtu kanipiga milioni kama 6 hivi na ushee takribani miezi miwili nyuma.

Kuna dogo wake aliweka tangazo la kuuza kiwanja sehemu fulani hivi Dsm. Baada ya kuwasiliana nae akanipatia namba ya huyo muhusika.

Tulipokutana akamuita mwenyekiti na mjumbe tukaafikiana na kufanya biashara.

Nikamtuma yule dogo wake aweke zile Bicon kubwa za kuonesha mipaka na gharama zote nilimlipa lakini kwa siku ile hakufanya na aliomba udhuru wa kwa nini hakufanya, nilimuelewa lakini kadri siku zilivyozidi ndivyo usumbufu ukaongezeka.

Nikaachana nae, nikaita fundi nikashusha material yote ya ujenzi baada ya kukamilisha msingi tu napigiwa simu kuwa kwa nini unajenga kwenye kiwanja changu...............

Baada ya kuwasiliana nae muuzaji wangu akanipa matumaini kuwa anakuja na aliyemuuzia yeye na full documents. Alikuwa anapokea simu na kuonesha ushirikiano nami lakini mpaka sasa hathubutu hata kupokea simu.

Nilienda ardhi na nikajiridhisha kuwa aliyeniuzia si muhusika. Yaani kichwa kinauma mpaka dakika hii.

Imenibidi nitumie laki5 nyingine kuhamisha tofali na mazaga mengine huku nikivunja ule msingi kwa gharama ya laki3..

Sijui hata hatua za kumchukulia huyu kiumbe. Halafu wala sio mwanaume.
Mbona jana tu mmetangaziwa kuwa haya matapeli yanakamatwa, peleka central pakiwa pa moto sasa hivi
 
Duuuh pole sana mkuu, pesa ilivyo ngumu kutafuta hivi halafu watu wanakuja kuchukua kirahisi aise pole sana.

Pitia huu uzi chini huyo mwanamke asije akawa ndio huyo katajwa kuwa amekamatwa. 👇🏽

Polisi yawakamata watu 11 kwa kuwatapeli masista wa Kanisa la Katoliki Sh milioni 100
 
Me kuna mmoja alinifuata inbox huko fb, akaniambia eti yeye ni muitaly
Nilipojaribu kumlilia shida ili nami niondokane na huu ukata
Alichoniambia nikwamba aniunganishe Forex trade
Nikakumbuka Kuna member wa jf walitapeliwa kupitia hii forex, nikamute ingawa alinibembeleza Sana ila nilimpoetezea

Note; kianzio alisema nitoe 1m
 
Back
Top Bottom